BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
hapana, nadhani mnafurahia kichinichini na ndio nchi ambayo mmezaliwa humu ba bado mwaendelea kuishi humu.Mtoto mkaidi unamuacha tu wala huna haja ya kufurahia matokeo ya ukaidi wake.
Maana kutuma picha ya mheshimiwa waziri kwamba amekata tamaa hio ni kejeli na matokeo ya kejeli ni furaha kwa anayekejeliwa, yani mlikua mnaomba usiku na mchana wizara ya utalii ishindwe kwa sababu zenu kwamba serikali imekataa kutoa takwimu za covid 19.