Mwenendo wa utalii nchini: Waziri Kigwangalla aonyesha kukata tamaa

Mwenendo wa utalii nchini: Waziri Kigwangalla aonyesha kukata tamaa

Sasa ivi wazungu wengi wako broke kutokana na Covid 19. Wizara inabidi i freeze tozo zote wanazotozwa watalii ili waendelee kuja for the sake ya hotels na ajira zingine.

Otherwise mtu akiwa na hela ya kupanda ndege na kuweza kukodi gari la kwenda mbugani, aje.. Mambo ya vitu kama Viza, iwe free for the next three months mpaka utalii utakapo peak up.
Ushauri mzuri sana.Natamani nimtage waziri
 
Kwani na wewe ni nyumbu?
Na unadhani pia kuishi mjini ndio fashion?
Mkuu, lakini ni kama unaheshima zako Sana hapa, ningependa nikuheshimu kama unavyojiheshimu wewe mkuu

Ungekuwa na heshima ungeacha kutumia maneno ya wapuuzi maana unageuka kuwa bendera fuata upepo. Acha hizo boss.
 
Nyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.

View attachment 1469976

Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
View attachment 1469977
Acha kuandika uzushi wa kimbea
Mshipwa Ball 8.9????
 
Higher risk country!Nchi ya MATAGA wapiga kelele bila plan yeyote.Huwezi kukataa kupambana na Corona halafu utegemee matunda mazuri
 
Nyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.

View attachment 1469976

Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
View attachment 1469977
Mkuu
inaonekana jamaa alipiga picha kabla wataalam hawajamaliza kazi yote, ila walipokamilisha tu kufanya kazi yeye akatest mitambo na kupiga pcha
 
Utalii Kwa sasa,hakuna Taifa lenye unafuu katika secta hiyo, kidooogo angalau hata kwetu kuna videge vinakuwa vinashuka KIA, la sivyo no kumwonea tu Kigwa
Balaa jingine. Hakuna ndege kutoka Tz au Kenya zitatua EU kwa sasa. Ni ndege kutoka Uganda na Rwanda tu. Hili ni tishio kwa sector ya utalii.
 
Balaa jingine. Hakuna ndege kutoka Tz au Kenya zitatua EU kwa sasa. Ni ndege kutoka Uganda na Rwanda tu. Hili ni tishio kwa sector ya utalii.
Na Bado! Dunia inajifaragua tu huku ikiwa haina kabisa uwezo wowote wa kuhimili matukio makubwa makubwa yajayo kabla Dunia haijafikia tamati yake,

Wakati Bado hayo hayajatukia, Mungu ametupa wanadamu uwezo mkubwa wa kutumia akiri zetu kuweza kuishi hata kwenye mazingira magumu kama haya, Bado Tanzania itakuwepo na watu wake wataendelea kuishi hata utalii usipokuwepo!

Na huko mwishoni kabisa mwa matukio magumu magumu ambayo ni lazima yaje, Watabakia watu shujaa walioshiba Imani nao wataishi Kwa hiyo Imani!

Sihitaji mjadara, ukitaka mjadara, soma Grandbook na kumwamini aliyezileta hizo habari,

Kwa heri
 
Hawa tyari wametua na wako porini,,,wasio itakia wizara mema eendeleeni.
IMG-20200630-WA0002.jpg
 
Kwahio mnafurahia na kushangilia kwamba sekta ya utalii inaangamia
Kwa Mimi niliyehitimu shahada ya ualimu mwaka 2015 na serikali imeshindwa kuniajiri na huku wakidai kuwa uchumi umepanda, basi nafurahi kusikia kuwa sekta ya utalii inaangamia maana hata isipoangamia wanaofaidi Ni wao tu. Hahahhahahaha
 
Balaa jingine. Hakuna ndege kutoka Tz au Kenya zitatua EU kwa sasa. Ni ndege kutoka Uganda na Rwanda tu. Hili ni tishio kwa sector ya utalii.
KLM imeanza kazi, Swiss wakonjiani, tayari wageni wamesha anza kuja, Ethiopia haijawai sitisha safari, Qutar Airway inapigakazi.
 
Uzuri muda bado upo wa kujipanga ,hata hivyo kujiuzulu ni jambo jema ili wsteuliwe wasio kata tamaa.
We ajihudhuru uwaziri mbwembwe atafanyia wapi? Mwacheni achape kazi ushauri mzuri mpeni hili LA kujihudhuru hapana (NEVER)
 
Kwa Mimi niliyehitimu shahada ya ualimu mwaka 2015 na serikali imeshindwa kuniajiri na huku wakidai kuwa uchumi umepanda, basi nafurahi kusikia kuwa sekta ya utalii inaangamia maana hata isipoangamia wanaofaidi Ni wao tu. Hahahhahahaha
Kwani lazima serikali ikuajiri? Mliandikishiana mkataba kwamba ukimaliza lazima wakuajiri....hata naivo unavyoiombea mabaya unadhani hali itakuwaje kwa hata hao unaoishi nao
 
Kwani lazima serikali ikuajiri? Mliandikishiana mkataba kwamba ukimaliza lazima wakuajiri....hata naivo unavyoiombea mabaya unadhani hali itakuwaje kwa hata hao unaoishi nao
Ni wajibu wa Serikali kutoa ajira au Fursa za ajira popote pale duniani. Utakuwa Ni mjinga wa kiwango Cha lami Kama ukiiondoa Serikali katika jukumu la kutoa ajira kwa Raia wake. Yaani kwa akili yako ndogo unadhani jukumu la Serikali Ni kujenga barabara na kununua ndege tu? Poor you
 
Hatakama ni wajibu wake lakini inatokana na mahitaji sasa kama hauitajiki unalazimisha unaona haitoshi unaanza iombea mabaya na kuisemea mabaya .maskini wa nafsi ww!.....wewe wajibu wako ni nini katika taifa lako? Yaani usome miaka mitatu tu ndouanze pelekesha nchi nzima ikuajiri
 
Utalii Kwa sasa,hakuna Taifa lenye unafuu katika secta hiyo, kidooogo angalau hata kwetu kuna videge vinakuwa vinashuka KIA, la sivyo no kumwonea tu Kigwa
Kwani si walisema kuwa kuna midege imeshajaa huko,watalii wa nasubilia tu, tufungue anga?!!
 
Kwani si walisema kuwa kuna midege imeshajaa huko,watalii wa nasubilia tu, tufungue anga?!!
Mkuu, wameghairi kuja eti hawataki kuidhibitishia Dunia kuwa Magufuli ni shujaa wa Tanzania na Dunia Kwa kutumia Mbinu ambayo wengi wanaipuuza mpaka leo, Ya kumwomba MUNGU kuiondoa Corona

Acha wasije, Ila Sisi Watanzania tutawathibitishia hilo
 
Hatakama ni wajibu wake lakini inatokana na mahitaji sasa kama hauitajiki unalazimisha unaona haitoshi unaanza iombea mabaya na kuisemea mabaya .maskini wa nafsi ww!.....wewe wajibu wako ni nini katika taifa lako? Yaani usome miaka mitatu tu ndouanze pelekesha nchi nzima ikuajiri

Hahaahaahaha. Na nitazidi kuiombea mabaya, rasilimali. za nchi zinapaswa kuwanufaisha watanzania katika nyanja zote na siyo kulinufaisha tabaka Fulani tu. Ni Bora zisiwepo kabisa .
 
Back
Top Bottom