msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Huyu waziri ndo walimdanganya kuna ndege inakuja na watalii 200 akajipanga hadi kuwapokea matokeo yake akakutana na watalii wawili tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anae furahia. Ia ni kwamba watalii hawawezi kuweka maisha yao rehani. Ina julikana dunia nzima kwamba tuki fanya siri kwenye janga la corona. Hakuna mtu mwenye pesa na akili azilete mahali ambapo hana uhakika na maisha yake.Kwahio mnafurahia na kushangilia kwamba sekta ya utalii inaangamia
Utalii Kwa sasa,hakuna Taifa lenye unafuu katika secta hiyo, kidooogo angalau hata kwetu kuna videge vinakuwa vinashuka KIA, la sivyo no kumwonea tu Kigwa
Huyu waziri ndo walimdanganya kuna ndege inakuja na watalii 200 akajipanga hadi kuwapokea matokeo yake akakutana na watalii wawili tu
Mkuu, au Kwa kuwa ni weekend watu Asubuhi Asubuhi mshafanya yenu, au umekosea kuni quote?Kaa kimya huna ujualo. Utalii tunaujua ndani nje, hizo propaganda mfu ziishie kwenye Siasa ya kuwa ccm inakubalika, maana wanaweza kutumia vyombo vya dola kutangaza matokeo wayatakayo. Kwenye utalii ni facts tu ndio zinarindima. Hakuna utalii wowote wa maana mpaka ifike December, tena nayo itategemea.
Mkuu kwa mtu mwenye maono hawezi kushangilia,sana sana wapo watu wenye upeo wa mambo kuwa juhudi za kuleta watalii kipindi hiki siyo sahihi.Kwahio mnafurahia na kushangilia kwamba sekta ya utalii inaangamia
Yani hapo 'unadhani' tu kwamba wanafurahia chini chini umeshuka essay yote hiyo! Je ukiwa na uhakika?hapana, nadhani mnafurahia kichinichini na ndio nchi ambayo mmezaliwa humu ba bado mwaendelea kuishi humu, mana kutuma picha ya mheshimiwa waziri kwamba amekata tamaa hio ni kejeli na matokeo ya kejeli ni furaha kwa anayekejeliwa, yani mlikua mnaomba usiku na mchana wizara ya utalii ishindwe kwa sababu zenu kwamba serikali imekataa kutoa takwimu za covid 19.
Mkuu, au Kwa kuwa ni weekend watu Asubuhi Asubuhi mshafanya yenu, au umekosea kuni quote?
Sina hakika Kwa nilichoandika kama kinaendana na ulichosema hapa
Kwa taarifa yako tu, ni kwamba Kigwangala ndiye amejipost.Naanza kumuelewa Pascal Mayalla kuhusu Twitter!
Hilo mbona halihitaji ufafanuzi......liko wazi!Kwa taarifa yako tu, ni kwamba Kigwangala ndiye amejipost.
View attachment 1470102
Mkuu, achana na NYUMBU za mikumi, haziwezi kujielewa na haitatokea kujielewa,Ninyi mna chuki zenu tu,niko hapa Karatu tokea jana ijumaa nkitokea Masai Mara-Kenya niliko kaa siku 6,kwa suala la wageni naona sura nyeupe zmeanza kuonekana tofauti na kwa majirani,hakika ikiendelea hivi Kuna tumaini kubwa,Leo tokea asubuhi magari ya watarii Kama 31 yaweza kuwa yamepita kuelekea mbugani,sijui kwingine
Kwahiyo unabishana na waziri wako ambaye ana data zote au?Ninyi mna chuki zenu tu,niko hapa Karatu tokea jana ijumaa nkitokea Masai Mara-Kenya niliko kaa siku 6,kwa suala la wageni naona sura nyeupe zmeanza kuonekana tofauti na kwa majirani,hakika ikiendelea hivi Kuna tumaini kubwa,Leo tokea asubuhi magari ya watarii Kama 31 yaweza kuwa yamepita kuelekea mbugani,sijui kwingine
Hakuna mwenye hiyo akili kwenye utawala huuSasa ivi wazungu wengi wako broke kutokana na Covid 19.
Wizara inabidi i freeze tozo zote wanazotozwa watalii ili waendelee kuja for the sake ya hotels na ajira zingine.. Otherwise mtu akiwa na hela ya kupanda ndege na kuweza kukodi gari la kwenda mbugani, aje.. Mambo ya vitu kama Viza, iwe free for the next three months mpaka utalii utakapo peak up.
Penye ukweli lazma tuseme ukweli.Mkuu, achana na NYUMBU za mikumi, haziwezi kujielewa na haitatokea kujielewa,
Naona ile sehemu ya kuweka cable HDMI wamewwka VGA na ile sehemu ya AV wameweka flashNyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.
View attachment 1469976
Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
View attachment 1469977
Mpuuzi wewe, unaendelea kushabikia ujinga NYUMBU wewe, kwenu kunawaliokufa ama wapo walio na Corona?, Unataka namba iwe kubwa kutoka wapi ikiwa wewe Huna maambukizi,