Unalazimisha kuw na akili fupi?Naanza kumuelewa Pascal Mayalla kuhusu Twitter!
Kigwangalla ni kijukuu cha mtume!Kingwangala awasikilize watu wa TATO wale ndio ma expert ukijifanya mjuaji lazima ukwame
Huyu hana hadhi ya kuwa Waziri ni kilaza sana sana, hana maturity na hana wisdom kbsa, kapewa level ambayo hakupaswa kuwa nayo, hafai hata kuwa naibu Waziri, Upumbavu mtupu, Mbona Rais haoni haya nchi hii tunadharaurika kisa mautopolo Kama hawa. Viongozi hawaelewi neno integrity!?
Tatizo ni kuwa ukitoka kutalii hasa nchi zilitongazwa high risk kama Tanzania, ukirudi kwenu inabidi ujifanyie self isolation kwa siku 14.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waziri kaziniNyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.
View attachment 1469976
Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
View attachment 1469977
Tulileta ubabe mbele ya watemi... Ngoja tusubiri kwanzaHakuna jinsi tourism itarudi mapema. Bora tungekubali yaishe. Tutaje namba hata za uongo afu tuzipunguze. Tungeaminika