Ushauri mzuri sana.Natamani nimtage waziriSasa ivi wazungu wengi wako broke kutokana na Covid 19. Wizara inabidi i freeze tozo zote wanazotozwa watalii ili waendelee kuja for the sake ya hotels na ajira zingine.
Otherwise mtu akiwa na hela ya kupanda ndege na kuweza kukodi gari la kwenda mbugani, aje.. Mambo ya vitu kama Viza, iwe free for the next three months mpaka utalii utakapo peak up.
Kwani na wewe ni nyumbu?
Na unadhani pia kuishi mjini ndio fashion?
Mkuu, lakini ni kama unaheshima zako Sana hapa, ningependa nikuheshimu kama unavyojiheshimu wewe mkuu
Acha kuandika uzushi wa kimbeaNyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.
View attachment 1469976
Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
View attachment 1469977
Huyu bibi akiwa anga za juu huwa na uchizi fulani.Mkuu kunywa maji then usome tena ulicho andika, narudia tena, kuwa matanga siyo tiketi ya kuwa kichaa
MkuuNyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.
View attachment 1469976
Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
View attachment 1469977
Balaa jingine. Hakuna ndege kutoka Tz au Kenya zitatua EU kwa sasa. Ni ndege kutoka Uganda na Rwanda tu. Hili ni tishio kwa sector ya utalii.Utalii Kwa sasa,hakuna Taifa lenye unafuu katika secta hiyo, kidooogo angalau hata kwetu kuna videge vinakuwa vinashuka KIA, la sivyo no kumwonea tu Kigwa
Na Bado! Dunia inajifaragua tu huku ikiwa haina kabisa uwezo wowote wa kuhimili matukio makubwa makubwa yajayo kabla Dunia haijafikia tamati yake,Balaa jingine. Hakuna ndege kutoka Tz au Kenya zitatua EU kwa sasa. Ni ndege kutoka Uganda na Rwanda tu. Hili ni tishio kwa sector ya utalii.
Kwa Mimi niliyehitimu shahada ya ualimu mwaka 2015 na serikali imeshindwa kuniajiri na huku wakidai kuwa uchumi umepanda, basi nafurahi kusikia kuwa sekta ya utalii inaangamia maana hata isipoangamia wanaofaidi Ni wao tu. HahahhahahahaKwahio mnafurahia na kushangilia kwamba sekta ya utalii inaangamia
KLM imeanza kazi, Swiss wakonjiani, tayari wageni wamesha anza kuja, Ethiopia haijawai sitisha safari, Qutar Airway inapigakazi.Balaa jingine. Hakuna ndege kutoka Tz au Kenya zitatua EU kwa sasa. Ni ndege kutoka Uganda na Rwanda tu. Hili ni tishio kwa sector ya utalii.
We ajihudhuru uwaziri mbwembwe atafanyia wapi? Mwacheni achape kazi ushauri mzuri mpeni hili LA kujihudhuru hapana (NEVER)Uzuri muda bado upo wa kujipanga ,hata hivyo kujiuzulu ni jambo jema ili wsteuliwe wasio kata tamaa.
Kwani lazima serikali ikuajiri? Mliandikishiana mkataba kwamba ukimaliza lazima wakuajiri....hata naivo unavyoiombea mabaya unadhani hali itakuwaje kwa hata hao unaoishi naoKwa Mimi niliyehitimu shahada ya ualimu mwaka 2015 na serikali imeshindwa kuniajiri na huku wakidai kuwa uchumi umepanda, basi nafurahi kusikia kuwa sekta ya utalii inaangamia maana hata isipoangamia wanaofaidi Ni wao tu. Hahahhahahaha
Ni wajibu wa Serikali kutoa ajira au Fursa za ajira popote pale duniani. Utakuwa Ni mjinga wa kiwango Cha lami Kama ukiiondoa Serikali katika jukumu la kutoa ajira kwa Raia wake. Yaani kwa akili yako ndogo unadhani jukumu la Serikali Ni kujenga barabara na kununua ndege tu? Poor youKwani lazima serikali ikuajiri? Mliandikishiana mkataba kwamba ukimaliza lazima wakuajiri....hata naivo unavyoiombea mabaya unadhani hali itakuwaje kwa hata hao unaoishi nao
Hatakama ni wajibu wake lakini inatokana na mahitaji sasa kama hauitajiki unalazimisha unaona haitoshi unaanza iombea mabaya na kuisemea mabaya .maskini wa nafsi ww!.....wewe wajibu wako ni nini katika taifa lako? Yaani usome miaka mitatu tu ndouanze pelekesha nchi nzima ikuajiriNi wajibu wa Serikali kutoa ajira au Fursa za ajira popote pale duniani. Utakuwa Ni mjinga wa kiwango Cha lami Kama ukiiondoa Serikali katika jukumu la kutoa ajira kwa Raia wake. Yaani kwa akili yako ndogo unadhani jukumu la Serikali Ni kujenga barabara na kununua ndege tu? Poor you
Kwani si walisema kuwa kuna midege imeshajaa huko,watalii wa nasubilia tu, tufungue anga?!!Utalii Kwa sasa,hakuna Taifa lenye unafuu katika secta hiyo, kidooogo angalau hata kwetu kuna videge vinakuwa vinashuka KIA, la sivyo no kumwonea tu Kigwa
Mkuu, wameghairi kuja eti hawataki kuidhibitishia Dunia kuwa Magufuli ni shujaa wa Tanzania na Dunia Kwa kutumia Mbinu ambayo wengi wanaipuuza mpaka leo, Ya kumwomba MUNGU kuiondoa CoronaKwani si walisema kuwa kuna midege imeshajaa huko,watalii wa nasubilia tu, tufungue anga?!!
Hatakama ni wajibu wake lakini inatokana na mahitaji sasa kama hauitajiki unalazimisha unaona haitoshi unaanza iombea mabaya na kuisemea mabaya .maskini wa nafsi ww!.....wewe wajibu wako ni nini katika taifa lako? Yaani usome miaka mitatu tu ndouanze pelekesha nchi nzima ikuajiri