Haya nayaona kuwa ni maigizo, halmashauri inajadili na kupitisha mteuliwa, lakini wakati wa kutengua hawaitwi kujadili wala kushirikishwa. Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali, lakini pia ni hadaa kwa wananchi.

Huyu huyu mwenye uwezo wa kutengua bila kushirikisha halmashauri na ateue tu bila usanii wa kuisumbua halmashauri
Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 😀😀
 
Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 😀😀
Vipi anapewa Amos Makala au anapewa yule Dr mdungaji wa sindano?
 
Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 😀😀
Basi tu ujinga umejaa ccm ,ila Makongoro Nyerere, alifaa ndani ya ccm kuwa makam mwenyekiti , katibu mkuu au mwenezi, shida ccm imetekwa na wahuni , matokeo yake wanamtupa huko kwenye ukuu wa mkoa hata Ndugu yangu Mtaka ni type ambazo hazistahili kua ngazi za mkoa
 
Mbona Lucas Mbwawashamba mnamsahau ?.Safari hii nafasi apewe yeye maana ana bidii ktk kusifu na kuabudu.
 
hata babalevo wamweke tu, au mwijaku. mbona kazi ndogo sana ile.
 
Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 😀😀
Maza iwe kwenye chama serikalini anajifunza kuteua kila siku hajui hata anafanya nini
 
Upo sahihi kabisa ni maigizo tupu
 
Ally Happy

Amos Makala

Albert Chalamila

Kwa vyovyote vile, jina la mwenezi mpya litaanza na "A"
Kumtoa chalamila dar litakuwa kosa kubwa sana la kiufundi pamoja na kwamba atakuwa kapanda cheo
 
Ana mabaya yake aliyo yafanya makonda wala hakuwa msafi ni kama alivyo kuwa magufuli tuu,ila ni watu walio weza kutumia ujinga wa watanzania vizur sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…