DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kufanya vikao vyake muhimu vya Kitaifa jijini Dodoma kuanzia Agosti 21, 2025 ambaopo ajenda ya vikao hivyo itakuwa ni uteuzi wa; Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge wa Viti Maalum, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.