BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUONGOZA IFTAR MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA.
Leo Jumapili Aprili 03, 2022 Kuanzia Majira ya Saa 10:30 Jioni hii, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ataongoza Iftar Maalum ya Kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Pamoja na kumuombea Dua ili Mwenyezimungu aendelee kumuwezesha kuwatumikia na kuwaunganisha Watanzania.
Iftar hii Maalum itafanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa PSSF Ghorofa ya 5.