BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Ama kweli taifa limepatikana madhimisho mwezi mzima! Huu upumbavu utauona Tanzania tu!MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUONGOZA IFTAR MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA.
Leo Jumapili Aprili 03, 2022 Kuanzia Majira ya Saa 10:30 Jioni hii, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ataongoza Iftar Maalum ya Kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Pamoja na kumuombea Dua ili Mwenyezimungu aendelee kumuwezesha kuwatumikia na kuwaunganisha Watanzania.
Iftar hii Maalum itafanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa PSSF Ghorofa ya 5.
View attachment 2174197
Kwa nini mkuu?Tanganyika ni taifa la wajinga Sana.
Kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Pamoja na kumuombea Dua ili Mwenyezimungu aendelee kumuwezesha kuwatumikia na kuwaunganisha Watanzania
Maulana Sheikh Hemed Jalala : Hili Jambo la Kuwatumikia watu, ni ibada kubwa kabisa.
Ndio kazi yakeee😂Maskini kodi zetu
Isumaili hapa bin twambombo nakuunga mguu yakhe😁Ili ufaidi awamu hii, inabidi ubadilishe jina lifanane na majina ya wenzetu wa upande wa pili....😂
Mie nimeanza rasmi kujiita Abdurahmani...😎
Uyatima mwisho miaka mingapi?MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUONGOZA IFTAR MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA.
Leo Jumapili Aprili 03, 2022 Kuanzia Majira ya Saa 10:30 Jioni hii, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ataongoza Iftar Maalum ya Kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Pamoja na kumuombea Dua ili Mwenyezimungu aendelee kumuwezesha kuwatumikia na kuwaunganisha Watanzania.
Iftar hii Maalum itafanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa PSSF Ghorofa ya 5.
View attachment 2174197
Mwaka Umekuwa Mgumu Eti Nao Wanalaumu VitaHuo mwaka bado tu?
Islam DiniIsumaili hapa bin twambombo nakuunga mguu yakhe😁
Swali au jibu?Islam Dini