Mwenge, Dar: Mapambano ya Polisi na Wamachinga. Mabomu ya machozi yatembezwa

Ila apo walipo usalama ni mdogo wakubali kua kila kitu kimekaa kimipango pia
 
Watu wa dar,tunawategemea mlete mabadiliko ya kiharakati hapa nchini. Kama ulivyo utaratibu kwamba mambo mengi huanzia dar ndio yanasambaa nchi nzima basis na hilo LA maandamano mlifanye kwa bidii sana....
Dar inaongoza kula mapato ya mikoa mingine maana kila kitu kizuri hupelekwa dar.
Dar inaongoza kuwa na lower class wengi
Dar inaongoza kwa maraha yote.
Dar inaongoza kwa uchafu nchi nzima
Dar inaongoza kwa joto nchi nzima
Dar inaongoza kupokea wahamiaji kutoka kigoma
Dar inaongoza kwenye uzinzi
Dar inaongoza kuwa na viongozi wengi wa serikali
Dar inaongoza kuwa na pisi za kila aina..
Kwa maana hiyo....Dar iongoze kwa maandamano ya amani.
 
Wazee wakutishiwa umewasahau
 
Dar hii hii?
 
Yaani dar imejaa maslay queen mpaka wanaume....wakisikia kamlio ka risasi wanafunga na mageti kabisa na kuingia kulala hata kama ni mchana.

Mkoa umejaa sana wapuuzi...dar kila MTU anajifanya anatumia akili kati hamna kitu
Naam hiyo ndo Dar.

Kigamboni haipo Dar ujue
 
Dada ulipotea sana!Pole sana Kwa kufiwa na mume wako ,R.I.P MAGUFULI.Pole pia Kwa shemeji yako kufukuzwa kazi... Paul Christian Daud Albert Bashite
MKuu usisahau kuwa uchawi upo🤣
 
Utakubali vingapi mkuu, kuna ambavyo vinatishia mustakabali wa maisha yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…