Mwenge, Dar: Mapambano ya Polisi na Wamachinga. Mabomu ya machozi yatembezwa

Idiot!... Yani watu wafanye biashara kando ya barabara?
 
Mpaka leo kuna mawe katikati ya mji? [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Sema hivi,huna akili ndio maana unashangaa.

Kwani kujenga service road na kujenga maeneo ya Machinga pembeni mwa Barabara Kuna tatizo?
Nenda ukawajengee basi .. kufanya biashara kwenye barabara,juu ya mitaro ya barabara, kwenye njia ya waenda kwa miguu, service road na hadi kwenye hifadhi ya barabara hairuhusiwi hiyo ni sheria na adhabu zake zipo ila kwa sababu mnaachiwa tu hayo maeneo mnayafanya yenu ..kama huna mtaji wa kukodi frame tembeza bidhaa hizo hadi utakapokuza mtaji ufanye biashara kwenye maeneo rasmi.
 
Mbezi mwisho pale ndiyo balaa

Ova
 
Mpaka leo kuna mawe katikati ya mji? [emoji15][emoji15][emoji15]
Eneo ambalo wsmachinga wameokota hayo mawe ni vifusi vilivyomwagwa na Manispaa eneo hilo. Hivyo kimsingi Manispaa imewasogezea huduma ya mawe ya bure
 
Umeona pale doko la Machinga Fofoma lilivyojengwa kwa kuzingatia vigezo hivyo?
Kila manispaa ya Dar pangekuwa na eneo maalumu la wamachinga mbona hizi kero zisingekuwepo
 
Umeona pale doko la Machinga Fofoma lilivyojengwa kwa kuzingatia vigezo hivyo?
Kila manispaa ya Dar pangekuwa na eneo maalumu la wamachinga mbona hizi kero zisingekuwepo
Ndio inavyotakiwa tena maeneo yenye watu sio kuwafukuza wakati hujawaandalia sehemu ya kwenda
 
Ndio inavyotakiwa tena maeneo yenye watu sio kuwafukuza wakati hujawaandalia sehemu ya kwenda
Pia bahati mbaya nyingine ni kuwa watu wa mipangomiji hawapewi nafasi kusikilizwa ama kuelekezwa hili hitaji
 
Dada ulipotea sana!Pole sana Kwa kufiwa na mume wako ,R.I.P MAGUFULI.Pole pia Kwa shemeji yako kufukuzwa kazi... Paul Christian Daud Albert Bashite

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka maana mnajua kutunga.. sasa hao sijawahi wanna uso kwa uso.. ndio Bado mnaniweka kwao.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

JF burudani.. sijapotea.. tupo na Mama.. tafuta popcorn fasta kabla burudani haijaanza. Mtasaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…