ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 475
- 353
Hauna macho ya kiroho. [emoji2]Mbona nipo Mwenge apa na sioni hayo mapambano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna macho ya kiroho. [emoji2]Mbona nipo Mwenge apa na sioni hayo mapambano
Idiot!... Yani watu wafanye biashara kando ya barabara?Hili swala la Machinga limekuwa shida sana ,yule mtu wenu ndio alilea huu uozo.
Sasa Serikali ilipe fidia maeneo wanavyotaka Ili biashara zifanyike
Pia nimewahi shairi kwamba tunapojemga Barabara Tujenge Kwa kuzingatia maeneo rafiki ambayo yatawezesha Machinga kufanya biashara kando kando ya Barabara
Mpaka leo kuna mawe katikati ya mji? [emoji15][emoji15][emoji15]Polisi wanapiga mabomu ya machozi muda huu hapa Mwenge. Wanapambana na Wamachinga ambao wanajihami kwa mawe.
Chanzo cha vurugu ni kwamba wamachinga wanagoma kuondoka maeneo waliyoamuriwa kutoka na kwenda kwenye eneo walilopangiwa katika barabara ya kwenda Cocacola.
Nguvu kubwa inatumika. Hekima itumike.
=======
Pia soma mdau huyu aliyekumbushia kuhusu sakata la Wamachinga Mwanza:
Sakata la Wamachinga na mgambo Mwanza lilishia wapi? Walipewa maeneo au walirudi barabarani?
Sema hivi,huna akili ndio maana unashangaa.Idiot!... Yani watu wafanye biashara kando ya barabara?
Nenda ukawajengee basi .. kufanya biashara kwenye barabara,juu ya mitaro ya barabara, kwenye njia ya waenda kwa miguu, service road na hadi kwenye hifadhi ya barabara hairuhusiwi hiyo ni sheria na adhabu zake zipo ila kwa sababu mnaachiwa tu hayo maeneo mnayafanya yenu ..kama huna mtaji wa kukodi frame tembeza bidhaa hizo hadi utakapokuza mtaji ufanye biashara kwenye maeneo rasmi.Sema hivi,huna akili ndio maana unashangaa.
Kwani kujenga service road na kujenga maeneo ya Machinga pembeni mwa Barabara Kuna tatizo?
Mbezi mwisho pale ndiyo balaaHakuna mmachinga anayetaka kufuata sheria, nenda Mbagala ukaone wamachinga wanavyowapa tabu wajenzi wa barabara ya mwendokasi, wajenzi wanaweka vitofali vya sehemu ya watembea kwa miguu wao wanang'oa wanavitumia! Wajenzi wanajenga mtaro wao wanatumbukiza taka za miwa, matunda na mbogamboga, ni elimu ipi uwape! Kila siku wanafukuzana na mgambo.
Umeona pale doko la Machinga Fofoma lilivyojengwa kwa kuzingatia vigezo hivyo?Hili swala la Machinga limekuwa shida sana ,yule mtu wenu ndio alilea huu uozo.
Sasa Serikali ilipe fidia maeneo wanavyotaka Ili biashara zifanyike
Pia nimewahi shairi kwamba tunapojemga Barabara Tujenge Kwa kuzingatia maeneo rafiki ambayo yatawezesha Machinga kufanya biashara kando kando ya Barabara
Ndio inavyotakiwa tena maeneo yenye watu sio kuwafukuza wakati hujawaandalia sehemu ya kwendaUmeona pale doko la Machinga Fofoma lilivyojengwa kwa kuzingatia vigezo hivyo?
Kila manispaa ya Dar pangekuwa na eneo maalumu la wamachinga mbona hizi kero zisingekuwepo
Ilikua ni Pancha ya tairi la trektaAise, nimeskia mlipuko nikiwa katika foleni... watu wanakimbia hovyo!
Dada ulipotea sana!Pole sana Kwa kufiwa na mume wako ,R.I.P MAGUFULI.Pole pia Kwa shemeji yako kufukuzwa kazi... Paul Christian Daud Albert Bashite
Kidumu chama cha mapinduzi.
CCM oyeee!