Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Maalim, niko msibani sheikhJitahidi ufike msibani
Sio kushibana tu inawezekana walikuwa wanaumwa ugonjwa mmoja.Maalim, niko msibani sheikh
Poleni kwa misiba! Wapumzike kwa Amani! Vipi kwa wastani walikuwa katika umri gani?Msibani kwa John Simba, ubavuni kwa Kebbys Hotel, Mwenge Kijijini Dar es Salaam View attachment 2577470
Huyu John Simba alisoma na kaka zangu Mwenge Primary, nadhani ni miaka kati ya 45-48Poleni kwa misiba! Wapumzike kwa Amani! Vipi kwa wastani walikuwa katika umri gani?
Kwa john simba nadhani anafika 50 na kituhivi, maana kipindi hicho nasoma mwenge primary nipo darasa la 4 miaka ya 1987 yeye alikuwa kamaliza skuli kitambo, mdogo wake sunday simba alikuwa la 7 wakati huo. R.l.P john simba, R.I.P masumbuko.Poleni kwa misiba! Wapumzike kwa Amani! Vipi kwa wastani walikuwa katika umri gani?
40-50Poleni kwa misiba! Wapumzike kwa Amani! Vipi kwa wastani walikuwa katika umri gani?
inabidi nitazame vzr maisha yangu umri ushasogea.Huyu John Simba alisoma na kaka zangu Mwenge Primary, nadhani ni miaka kati ya 45-48
Mmoja alikuwa na kisukari na mwingine cancerSio kushibana tu inawezekana walikuwa wanaumwa ugonjwa mmoja.
dah huo mwaka ndo namaliza chuo udsm polen sn wafiwaKwa john simba nadhani anafika 50 na kituhivi, maana kipindi hicho nasoma mwenge primary nipo darasa la 4 miaka ya 1987 yeye alikuwa kamaliza skuli kitambo, mdogo wake sunday simba alikuwa la 7 wakati huo. R.l.P john simba, R.I.P masumbuko.
Mwenyezi Awarehemu Wana. Nasi tuko njiani. Atujalie Mwisho Mwema.Poleni sana wana wa Mwenge Kijijini kwa msiba ,nakumbuka kipindi hicho nikienda Ibadani Mwenge RC,nikipita kwa akina Kazimbaya
Baadae nikawa namuona John Simba akipiga debe hapo Bamaga,akijaza Hiace za Mwenge -Manzese,(miaka ya nyuma kidogo jamani)..tangulia mwamba John Simba..mbele yetu ,nyuma yako
Duuh 1987 unamaliza chuo Tukuyu stars wanachukua ubingwa nipo darasa la 4 Mbeya hiyo kwa kina Bujibuji...dah huo mwaka ndo namaliza chuo udsm polen sn wafiwa