TANZIA Mwenge Kijijini ina majonzi makubwa, wawili wafa ndani ya saa 24

Duh John kaondoka! Hii familia naijua sana, mzee Simba na mama Mary walikuwa kama wazazi wangu. Pole sana Mary, pole sana Sunday
 
Huyu John Simba alisoma na kaka zangu Mwenge Primary, nadhani ni miaka kati ya 45-48

Mwenyezi Awarehemu Wana. Nasi tuko njiani. Atujalie Mwisho Mwema.

Mwenge Kijijini inanikumbusha Mwalimu Chilumba na Mwalimu Zayumba. Miaka imekwenda Aisee!
Chilumba Alishatangulia kitambo, enzi hzokuna mwalimu ule, wansinyo, kigadye, mwakatobe, mapunda, mkumbwike, komoro, dah, kitambo sana mkuu.
 
Chilumba Alishatangulia kitambo, enzi hzokuna mwalimu ule, wansinyo, kigadye, mwakatobe, mapunda, mkumbwike, komoro, dah, kitambo sana mkuu.
Mwenyezi Amrehemu Mwl. Chilumba na wengine waliotutangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…