Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

Wanabodi,

Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).

Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta maadhimisho ya sherehe muhimu kama ya Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe tuu huku hospitali zetu zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha kwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!.

Hivyo hili ni swali kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani. Kinachozungushwa ni Mwenge lakini the essence ni ule mwanga tuu wa kumulikia au ni ule moshi unaofukizwa kama vile umetiwa mavumba fulani kuwapumbaza Watanzania?!.
.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .

When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimishane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Hiyo ni mila na utamaduni wa Kanisa Katoliki duniani ambao iliurithi kutoka kwa Wapagani wa Kirumi na Kigiriki walioabudu moto.

Ni kukufuru tu.
 
Yes Warumi na Wagiriki wa kale waliabudu moto, sisi Kanisa Katoliki hatuabudu tena moto tumamwabudu Mungu aliye hai.
Mada iliyo mezani ya uzii huu sio mwenge wa Kirumi, Kigiriki wala Katoliki, hapa tunazungumzia Mwenge wa Uhuru na essence ya Mwenge wa Uhuru ni ule mwanga ili umulike au ni ule moshi?.
P
 
Hahahaha. Uko finyu sana.

Unafikiri aliyeuanzisha mwenge hapa kwetu alilala tu akaota ndiyo akauanzisha? Hapana, alikuwa ni mwanatheolojia mzuri sana wa Kanisa Katoliki.

Soma hii Halafu nambie ni ,"coincidence" tu...

CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: Liturgical Use of Fire
 
Wanabodi,

Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu
Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!.

Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Leo siku ya Nyerere day katika kumdurusu Mwalimu Nyerere kuna maswali najiuliza Kumuenzi Baba wa Taifa:CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla, Je Tunamuenzi Baba wa Taifa kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo?, Tunamuishi?.
Nawatakia maadhimisho mema na mapumziko mema ya Nyerere Day.
P
 
Licha ya kuwepo imani tofauti tofauti, za dini, asili na hata wasioamini chochote, lakini Mungu ni mmoja tuu, Mungu Baba Mwenye Enzi, Muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
P

kumbe unajua mungu ni mmoja muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana, yesu ni mtume wa mungu
 
Inasemekana Alie anzisha mwenge alikufa baada tu yakutoka mapangoni huko aliko utoa. alikuwa anaitwa forojo ganze Ina semekana. nakabra hajafa alitabili mda wa utawala na kifo Cha nyelele"mwenge ukiufuatilia vizuri haurudigi nyuma ni mbele mbele kwamfano mwenge ukifika makambako hauwezi kurudi mbeya Tena. Ina semekana mwenge Ni nyoka aina ya nyemvwera au nyafwila kwa wachina Wana mwita dragon.inasemekana pasipo mwenge amani yetu haikuwepo.narudia Tena mwenge Ni bongo laza.baada ya jpm kupiga Pini mwenge so uliona inchi ilivyo Anza kunukia kaudam udam??😋😋😋 Nibibi alini hadithia tu sjui aliniambia kweli?? RIP my grandmother
 
Habarini?

Kwa taarifa za kiintelejinsia zilizonifikia kutoka kwenye chanzo changu cha habari, ni kuwa Serikali ya CCM inawaroga watu wake ili wasiweze kuwa na utashi uchungu na uzalendo wa kweli wa kufanya mageuzi juu ya uongozi wa nchi yao.

Ndo mana wanang’ang’ania huo mwenge licha ya kutumia mabillion kila mwaka. Mbaya zaidi Walimu ndio wamekuwa wakishabikia huo mwenge kila mwaka licha ya kuchangishwa kwa lazima.

IMG_5137.jpg
 
View attachment 2586779
Duh...!. Niliwahi kuuliza Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.
P
 
Ndo mana wanang’ang’ania huo mwenge licha ya kutumia mabillion kila mwaka,Mbaya zaidi WALIMU ndo wamekuwa wakishabikia huo mwenge kila mwaka licha ya kuchangishwa kwa lazima
Sio kweli.....wanalazimishwa kuchangia na kushiriki hafla zao.
 
Wanabodi,

Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
mimi kama mtanzania ambaye akili zangu bado hazijapitiwa na moshi wa mwenge nimekuelewa vizuri kiongozi
Mkuu Huseni, HUSSEN KAMBI kumbe ni moshi wa mwenge!. Hili niliwahi kuuliza Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.
P
 
Inasemekana Alie anzisha mwenge alikufa baada tu yakutoka mapangoni huko aliko utoa. alikuwa anaitwa forojo ganze Ina semekana. nakabra hajafa alitabili mda wa utawala na kifo Cha nyelele"mwenge ukiufuatilia vizuri haurudigi nyuma ni mbele mbele kwamfano mwenge ukifika makambako hauwezi kurudi mbeya Tena. Ina semekana mwenge Ni nyoka aina ya nyemvwera au nyafwila kwa wachina Wana mwita dragon.inasemekana pasipo mwenge amani yetu haikuwepo.narudia Tena mwenge Ni bongo laza.baada ya jpm kupiga Pini mwenge so uliona inchi ilivyo Anza kunukia kaudam udam??[emoji39][emoji39][emoji39] Nibibi alini hadithia tu sjui aliniambia kweli?? RIP my grandmother
Huyo nyoka nyifwila anapatikana wapi mkuu?
 
Wanabodi,

Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).

Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta maadhimisho ya sherehe muhimu kama ya Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe tuu huku hospitali zetu zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha kwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!.

Hivyo hili ni swali kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani. Kinachozungushwa ni Mwenge lakini the essence ni ule mwanga tuu wa kumulikia au ni ule moshi unaofukizwa kama vile umetiwa mavumba fulani kuwapumbaza Watanzania?!.
.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .

When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimishane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Ki imani,mwenge ni ushirikina.
 
Back
Top Bottom