Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
- #241
Kama ni ushirikina unao wasaidia Watanzania kuwa cool, kutulia, then ni ushirikina mzuri!.Ki imani,mwenge ni ushirikina.
P
Kama ni ushirikina unao wasaidia Watanzania kuwa cool, kutulia, then ni ushirikina mzuri!.Ki imani,mwenge ni ushirikina.
😅😅😅😅😅😅😅😅Sikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.
Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kaka Pascal mimi nakumbuka ulikesha kijijini kwetu Ngonga nilikuwa primary darasa la tano,kutokana na kuwa na ufahamu kidogo kila kona nilikuwa naona watu wamelaliana sasa nikawa sielewi. Kesho shuleni tukaambiwa tuandike insha kuhusu mwenge kutokana na utoto nilichoandika acha walimu wacheke mpaka machozi yaliwatoka,mwenge haufai.
Lyamba lya mfipaHuyo nyoka nyifwila anapatikana wapi mkuu?
Wanabodi,
Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
Paskali
PKafara la kukimbiza moto limetufanya kitu kibaya sana.. Hivi visiwani mwenge huwa unaenda?
Karibu mitaa hiiTuna mwenge. Moshi wake unaleta giza zaidi. Kale kamwanga hafifu ka mwenge kanafifishwa zaidi na moshi wa mwenge huohuo.
Dhumuni la mwenge ni kuleta giza kwenye fahamu za Watanzania
Hakuna ushirikina mzuri Mr. ChawaKama ni ushirikina unao wasaidia Watanzania kuwa cool, kutulia, then ni ushirikina mzuri!.
P
Ushirikina ni kuanya jambo lolote kwa kutumia shirki, ukitumia shirki kufanya maovu ndio ushirikina mbaya, lakini ukitumia shirk, kuagua, to make money, to be rich, then ni ushirikina mzuri.Hakuna ushirikina mzuri
Shirki ya aina yoyote ni kufuru na ni ibada ya kishetani.Ushirikina ni kuanya jambo lolote kwa kutumia shirki, ukitumia shirki kufanya maovu ndio ushirikina mbaya, lakini ukitumia shirk, kuagua, to make money, to be rich, then ni ushirikina mzuri.
p
Umeona ehh. Wanasemaje Mbezi Juu? Salimia familiaKaribu mitaa hii
P
Ni kweli shirki ni ibada za kishetani, ila shetani mwanzo alikuwa malaika, kuna baadhi wanaotumia ibada za kishetani kupata mafanikio, ila pia kuna wengi wanamwabudu shetani, wakidhani ni Mungu!, https://www.jamiiforums.com/threads...i-ni-mungu-jee-wewe-unajijua-jitambue.848768/Shirki ya aina yoyote ni kufuru na ni ibada ya kishetani.
Haiwezi kuambatana na jema hata kidogo.
Mkuu Kamu,@kamundu,kwanza naunga mkono hoja kupitwa na wakati kwa ukimbizaji wa kizamani,hakuna haja kuendelea kutumia mafuta mazito yenye mi moshi yenye sumu ya hydromonoxde,wakimbiza mwenge wengi hufa vifo vya magonjwa ya ajabu ajabu!Tunaweza kutumia methene, butane na hata gesi!Mbio za Mwenye zimepitwa na wakati
Ibada ya sanamu..Mkuu Kamu,@kamundu,kwanza naunga mkono hoja kupitwa na wakati kwa ukimbizaji wa kizamani,hakuna haja kuendelea kutumia mafuta mazito yenye mi moshi yenye sumu ya hydromonoxde,wakimbiza mwenge wengi hufa vifo vya magonjwa ya ajabu ajabu!Tunaweza kutumia methene, butane na hata gesi!
Lakini dhima ya mwenge bado ni very valid
karibu mitaa hii kuhusu Mwenge wa uhuru Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?. na Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!. na Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru ila pia kwenye mkesha wa Mwenge, mahali unapolala kuna shamrashamra zake na ile starehe yetu ile... bwerere!. Mapokezi Ya Mwenge Dodoma: Wilaya ya Bahi Yafanya Kufuru!.
P
Mkuu Kamu,@kamundu,kwanza naunga mkono hoja kupitwa na wakati kwa ukimbizaji wa kizamani,hakuna haja kuendelea kutumia mafuta mazito yenye mi moshi yenye sumu ya hydromonoxde,wakimbiza mwenge wengi hufa vifo vya magonjwa ya ajabu ajabu!Tunaweza kutumia methene, butane na hata gesi!
Lakini dhima ya mwenge bado ni very valid
karibu mitaa hii kuhusu Mwenge wa uhuru Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?. na Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!. na Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru ila pia kwenye mkesha wa Mwenge, mahali unapolala kuna shamrashamra zake na ile starehe yetu ile... bwerere!. Mapokezi Ya Mwenge Dodoma: Wilaya ya Bahi Yafanya Kufuru!.
P
Kafara na Zinduko la Ccm kuwapumbaza Watanzania litafika mwisho.Mkuu Kamu,@kamundu,kwanza naunga mkono hoja kupitwa na wakati kwa ukimbizaji wa kizamani,hakuna haja kuendelea kutumia mafuta mazito yenye mi moshi yenye sumu ya hydromonoxde,wakimbiza mwenge wengi hufa vifo vya magonjwa ya ajabu ajabu!Tunaweza kutumia methene, butane na hata gesi!