Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
- Thread starter
- #21
Paschal inabidi tumpeleke akaombewe kuna kitu hakiko sawa aseeKuna raia wanaona uchawa ndio uzalendo, hawajui tofauti kati ya uchawa na uzalendo, inashangaza hata jamaa yetu Pascal msomi mbobezi naye hajui dhana hizo mbili