nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Acha kutetea ujingaUkamilishwaji wa Miradi mingi ya maendeleo kwa ngazi ya mikoa na halmashauri husukumwa na ujio wa Mwenge.
Acha kutetea ujingaUkamilishwaji wa Miradi mingi ya maendeleo kwa ngazi ya mikoa na halmashauri husukumwa na ujio wa Mwenge.
Wanabodi,
Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta maadhimisho ya sherehe muhimu kama ya Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe tuu huku hospitali zetu zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha kwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!.
Hivyo hili ni swali kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani. Kinachozungushwa ni Mwenge lakini the essence ni ule mwanga tuu wa kumulikia au ni ule moshi unaofukizwa kama vile umetiwa mavumba fulani kuwapumbaza Watanzania?!.
.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .
When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimishane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Unaweza tu kuwataja kama unawafahamu, mimi siwafahamu bali nafahamu kuwa moto ni ibada ya shetani.Ungetaja na majina ya wawashamwenge wa uhuru ingesaidia sana kuwaonyesha hawa wakanisani walivyoshiriki hii haram ya allah
Licha ya kuwepo imani tofauti tofauti, za dini, asili na hata wasioamini chochote, lakini Mungu ni mmoja tuu, Mungu Baba Mwenye Enzi, Muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.Mungu yupi unayemwabudu
Tuko pamoja dini za mitumba I zimetupoteza sana kila kitu cha kI'm ili wameterm usher animal.Mungu yupi unayemwabudu
Leo ndio siku ya kuzimwa Mwenge, tuendelee kuelimishana umuhimu wa Mwenge wa uhuru ila hoja za bandiko hili bado ziko valid, jee ni lazima Mwenge uendelee kutumia mafuta mazito yenye moshi mzito, mnene wa Carbon wenye sumu?.
Jee kumewahi kufanyika utafiti wa afya za wakimbiza Mwenge baada ya kukimbiza na kama baadhi yao walipatwa na maradhi jee ni maradhi gani na yalisababishwa na nini?.
Nauliza hivi kwa sababu nakijua kilichomkuta mmoja wa viongozi wakimbiza mwenge wa siku za nyuma ambaye kwa sasa ni RIP.
P
Hii itashindikana idogoLicha ya kuwepo imani tofauti tofauti, za dini, asili na hata wasioamini chochote, lakini Mungu ni mmoja tuu, Mungu Baba Mwenye Enzi, Muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
P
Biblia imekataza mambo ya kupitishana kwenye moto na kuyaweka katika kundi la kichawiDuh.. !. Ina maana nguvu za giza zinahusika?.
P
1. Mzee Ramadhan, alizaliwa mwaka 1920,Unaweza tu kuwataja kama unawafahamu, mimi siwafahamu bali nafahamu kuwa moto ni ibada ya shetani.
Wachawi wengi hujificha nyuma ya pazia la dini. Sishangai.1. Mzee Ramadhan, alizaliwa mwaka 1920,
2. Ally Tarazo(1929),
3. Komwe wa Komwe(1918),
4. Sheihe Yahya Hussein(1925),na
5. Forojo Ganze (1902)
Hao wote walikuwa waongoza misikiti waliohiji mecca
CCM itatawala milele.Kwa jina la Yesu hayo mavumba yaishiwe nguvu Watanzania waamke
Mimi ni muumini mzuri wa Mungu ila pia some traditional beliefs, sio imani zote za asili ni nguvu za giza, nyingine kiukweli zinasaidia saidia, mfano kule kwetu Bariadi wale wazee wa Gambosh, wamesaudia sana tuu ila basi tuu watu hawajui!. Unadhani zile alimasi, zile dhahabu kule zimetokea kwa bahati mbaya?.
Ona sasa kunavyo ng'ara tuna hadi uwanja wa ndege kijijini, mbuga ya wanyama na hadi Tawi la CRDB la ghorofa, nyumba za NHC wakati kuna mikoa hakuna!.
We acha tuu, tuendelee kuleta maendeleo kwa msaada wa imani hizi.
P
Umeleta hoja ngumu kweliLeo ndio siku ya kuzimwa Mwenge, tuendelee kuelimishana umuhimu wa Mwenge wa uhuru ila hoja za bandiko hili bado ziko valid, jee ni lazima Mwenge uendelee kutumia mafuta mazito yenye moshi mzito, mnene wa Carbon wenye sumu?.
Jee kumewahi kufanyika utafiti wa afya za wakimbiza Mwenge baada ya kukimbiza na kama baadhi yao walipatwa na maradhi jee ni maradhi gani na yalisababishwa na nini?.
Nauliza hivi kwa sababu nakijua kilichomkuta mmoja wa viongozi wakimbiza mwenge wa siku za nyuma ambaye kwa sasa ni RIP.
P
Hii Cororona sasa itatuharibia mila na desturi zetu.
Hofu ya Corona; Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona
P.
Safi sana! Finally nature imelazimisha maamuzi sahihi dhidi ya "upigaji na uzururaji" chini ya mwamvuli wa mwenge!!