Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.

Hivi "FOROJO" Faru Joni?
Anyway, hata mimi huwa naamini kuwa hii shughuli ya Mwenge ni ushirikina tu hakuna la zaidi!
KUNA SIKU NILIINGIA OFISINI KWA DED KTK H/W FLANI SIKUJUA KUMBE WALIKUWA WANAUFANYIA DRESSING M.WENGE NILIKULA KOFI NIKANYANYULIWA TAMA LA MAANA NIKAULIZWA NIMEONA NINI NA NILITUMWA NA NANI JAMBO HILI HADI LEO LINANIFIKIRISHA SANA KWANI NILIPOINGIA NILIONA KITU MITHIRI YA KICHWA KIKUBWA CHA NYOKA LAKINI KABLA SIJATAZAMA VIZURI NDIPO NIKAJIKUTA NAOGELEA MAKOFI NA MITAMA, KUNA AFISA USALAMA FLANI ALINIFUATILIA SANA NA AKAWA KILA TUKIONANA ANANIULIZA NILIONA NINI NIKAMWAMBIA NILIONA MW.ENGE, AKAWA ANAPOTEA.
KUNA KIPINDI NILIBAHATIKA KUMUULIZA MZEE WANGU MMOJA KULE BAGAMOYO KWAMBA ANAJUA NINI KUHUSU MWENGE ALINAMBIA UMRI WAKO BADO MDOGO KUKUELEZA UKWELI KUHUSU MWENGE KWANI NI USHIRIKINA WA KIWANGO CHA LAMI NA AKANAMBIA KIUHALISIA UNATAKIWA UZUNGUKE NCHI NZIMA SIKU CHACHE KABLA YA UCHAGUZI LAKINI WALIONA WATASHTUKIWA WAKAONA UZUNGUKE KILA MWAKA ILI UONEKANE NI KAMA KITU CHA KAWAIDA NA AKANAMBIA IKIJA TOKEA MTU MMOJA AKAJITOA UFAHAMU AKAUBWAGA CHINI BASI MWENYE KICHWA ATAJITOKEZA NA ASILI YA KIUMBE HUYO ANATOKEA KWENYE PANGO MOJA LIPO HUKO BAGAMOYO AMBAKO FOROJO ALIKAA HUKO ZAIDI YA SIKU KUMI
 
unaamaanisha kabla hawajauzungusha mwenge kuna matambiko wanaufanyia ili kiumbe huyo anayeishi mapangoni asijitokeze?
2:kiumbe huyo ni nani?
3.ana impact gani kwa nchi akionekana hadharani?ana madhara?
NB:mimi bado ni kijana mdogo lakin nikikuwa miaka ijayo kama nitapata nafasi ya uongozi huko juu lazima mwenge niupige chini.
MUNGU IBARIKI AFRIKA NA TANZANIA YANGU NAIPENDA.
 
Wee jamaaaa

Kwahiyo wewe p unataka shetani aendelee kutawala milele na siku watanzania watabadilika hutaamini wewe wao na mungu wao nyamrunda wanayemzungusha wakiwadanganya watu ni mwenge .
Mkuu Chief Kabikula,
nisome hapa kuhusu mwenge.
P
 
Wanabodi,

Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).

Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta maadhimisho ya sherehe muhimu kama ya Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe tuu huku hospitali zetu zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha kwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!.

Hivyo hili ni swali kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani. Kinachozungushwa ni Mwenge lakini the essence ni ule mwanga tuu wa kumulikia au ni ule moshi unaofukizwa kama vile umetiwa mavumba fulani kuwapumbaza Watanzania?!.
.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .

When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimishane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Soma huo mstari wa 11
1143347
 
Brother pascal hicho ulichokisema sio cha kuuliza.ni uvumba huo nadhani
 
Moto ni ibada za kishetani ambazo hata kanisa katoliki huzifanya.

Siku utakapofunguliwa ufahamu na ukajua kuwa si kanisa wala mtume (awe ni Paulo - your current nemesis- au Muhammad) bali ni uhusiano wako BINAFSI na aliekuumba that's what matters utawezeshwa kujua ni kwa nini Mungu alikuleta duniani. Na naamini (based on what you have been writing here) Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na Nchi atakufunulia ili uyafanye mapenzi yake. Mungu akutangulie dada yangu, na akupe ujasiri wa kuisikia sauti yake itakapokujia.
 
Soma hiyoooo: https://www.tldm.org/news/martin.htm
 
Wanabodi,

Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).

Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta maadhimisho ya sherehe muhimu kama ya Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe tuu huku hospitali zetu zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha kwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!.

Hivyo hili ni swali kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani. Kinachozungushwa ni Mwenge lakini the essence ni ule mwanga tuu wa kumulikia au ni ule moshi unaofukizwa kama vile umetiwa mavumba fulani kuwapumbaza Watanzania?!.
.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .

When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimishane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Bwana Pascal Mayala nisaidie nimeshindwa kuweka kichwa chahabari nashangazwa natamko la uandikishaji wa vijana kujiunga na Jkt tangazo linasema hivi tunachukua umri usizidi miaka 20 naomba nizungumzie kidato channe nawanachukua waliomaliza 2016-2017 na 2018 sinaugomvi nahiyo tatizo hapo naomba nizungumzie huyu aliomaliza 2016 kweli atakuwa naumri wamiaka 20 au zaidi hadikufikia hii 2019?
Tuanze uchambuzi
Darasa lakwanza anaanza akiwa naumri wa miaka 6 hadi 7 anamaliza shule yamsingi akiwa na umri wamiaka 14 kidato channe anamaliza akiwa na umri wamiaka 18 sasa tuhesabu kutoka mwaka2016 hadi leo 2019 kweli huyu atakuwa umri wake upo miaka 20 au zaidi? Mimi naimani itakuwa zaidi ya 20 hukunikuwanyima Vijana haq yao yakupata mafunzo namashaka makubwa nawanaopanga umri Uwezo wao upochini Sana wakufikiri nimeweka hapa iliwatu wachangie ilanimada ingepata sehemuyake ichangiwe nimeshindwa namna yakuiweka iwenahedi yakePascal nisaidie uiwekee Hedi tupatekuchangia iliwatu wachangie nadhani ingetosha Wangesema wanaotakiwa ni wa 2018 tu
 
Back
Top Bottom