Mwenge wa Uhuru utazimwa Chato mkoani Geita ukiambatana na Misa takatifu ya kuwaombea mahayati Magufuli, Mkapa na Nyerere katika Kanisa Katoliki

Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!

Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Wewe na cdm mmewatendea uzuri gani watz iwapo choo tu mmeshindwa kujijengea kama kweli nyie ni wemapimbi
 
Yaani Mwenge wa uhuru unaenda kuzimwa kwa mtu ambae alikuwa anapinga uhuru wa watu?🤔🤔🤔Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu walahi!🚶🚶🚶
 
Kila mtu ajiombee
 
Halafu eti kuna wapungufu wa akili wanaota wakiingia ikulu ajenda yao ya kwanza ndani ya siku100 watauzima mwenge na kuuweka makubusho ya taifa!
Asili ya huo moto ni kuzimu lengo ni kuwapumbaza watu yafaa utupwe kabisa chooni.
Hauna faida kwa kizazi cha sasa thus umasikini unazidi KILA siku
 
Kanisa linafanya shirki kubwa sana.
Hapo ni falme mbili za giza na Nuru
 
Wala hatafufuka na wala haitamsaidia kitu
 
Misa ifanyikie pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato
 
Isaya 50:11
 
Heading ni kama kauli hii imewekewa na Kanisa Katoliki .
 
Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!

Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Hivi majamba wasi wameacha kuwaibia wa Tz na Mwisho wa siku kupeleka walicho Iba makanisani/ msikitini
 

Mwenge wa Uhuru utazimwa Chato mkoani Geita ukiambatana ,na Rais mama yetu kuutangaza rasmi mkoa mpya wa chato.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…