Pia mimi na wewe tunatakiwa kujifunzaMaisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!
Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Yaani mnachanganya maadhimisho ya Misa Takatifu na hayo mazindiko yenu ya kishetwani. Ama kweli maccm mmechanganyikiwaWaziri Jenister Mhagama amesema Mwenge wa Uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT
Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.
Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Chanzo: Star tv
Mbio za Mwenge ni moja ya matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi wa Tanzania.Sionagi umuhimu wa mwenge
Nyinyi wakatoriki mnafanya ibada za wafu so mwenge wa uhuru na ninyi misa yenu ni sawa tu mnaabudu mizimu!Yaani mnachanganya maadhimisho ya Misa Takatifu na hayo mazindiko yenu ya kishetwani. Ama kweli maccm mmechanganyikiwa
Haloween eve ?Nyinyi wakatoriki mnafanya ibada za wafu so mwenge wa uhuru na ninyi misa yenu ni sawa tu mnaabudu mizimu!
Kama na wewe na kejeri zako utavyokuwa kwenye kundi la wafuMaisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!
Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Wewe ni Mungu? Au msemaji wake?Haya maombi hayafiki kwa Mungu, bora yangefanywa enzi za uhai wao, dead knows nothing, Catholic Church is a cult,
Hilo kanisa lilishakengeuka sehemu gani kwenye biblia kuna kuwombea marehemu? Hawasomi biblia wao ni kufata tu Padri anachofanya! Someni neno la Mungu!Wewe ni Mungu? Au msemaji wake?
Umeshakengeuka! Sehemu gani kwenye Biblia hakuna kumwombea marehemu?Hilo kanisa lilishakengeuka sehemu gani kwenye biblia kuna kuwombea marehemu? Hawasomi biblia wao ni kufata tu Padri anachofanya! Someni neno la Mungu!
Mkuu nyinyi mambo ni mengi sana! Dead is dead bro! Hakumbuki na kitabu chake kishafungwa! Na ibada nyingine ni kuabudu sanamu ya yesu kitu ambacho hakitakiwi!Umeshakengeuka! Sehemu gani kwenye Biblia hakuna kumwombea marehemu?
Wewe ndiye unayesema? Mbona unalazimisha! Wewe ni Mungu kusema dead is dead? Au unafahamu walipo? Nani kakudanganya sanamu inaabudiwa? Mchungaji wako au?Mkuu nyinyi mambo ni mengi sana! Dead is dead bro! Hakumbuki na kitabu chake kishafungwa! Na ibada nyingine ni kuabudu sanamu ya yesu kitu ambacho hakitakiwi!
Wewe endelea kuabudu sanamu na wafu! Mi sikuzuii nakushauri!Wewe ndiye unayesema? Mbona unalazimisha! Wewe ni Mungu kusema dead is dead? Au unafahamu walipo? Nani kakudanganya sanamu inaabudiwa? Mchungaji wako au?
Kwani wewe utaishi milele?Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!
Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,