Mwenge wa Uhuru utazimwa Chato mkoani Geita ukiambatana na Misa takatifu ya kuwaombea mahayati Magufuli, Mkapa na Nyerere katika Kanisa Katoliki

Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!

Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Pia mimi na wewe tunatakiwa kujifunza
 
Waliodhulumiwa na Jiwe watatumia misa hiyo takatifu kuomba malaika wachochee kuni
 
Waziri Jenister Mhagama amesema Mwenge wa Uhuru utakamilishia mbio zake katika wilaya ya Chato mkoani Geita ikiwa ni kumbukumbu ya kumuenzi hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 wa JMT

Katika hitimisho hilo la mbio za mwenge itafanyika misa takatifu ya kitaifa katika Kanisa Katoliki Chato kuwaombea hayati Magufuli, Mkapa na Nyerere.

Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.

Chanzo: Star tv
Yaani mnachanganya maadhimisho ya Misa Takatifu na hayo mazindiko yenu ya kishetwani. Ama kweli maccm mmechanganyikiwa
 
Nyinyi wakatoriki mnafanya ibada za wafu so mwenge wa uhuru na ninyi misa yenu ni sawa tu mnaabudu mizimu!
 
Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!

Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Kama na wewe na kejeri zako utavyokuwa kwenye kundi la wafu
 
Alafu hiyo siku tutawaumbua wote waliotelekeza miradi ya chato
 
Haya maombi hayafiki kwa Mungu, bora yangefanywa enzi za uhai wao, dead knows nothing, Catholic Church is a cult,
 
Hilo kanisa lilishakengeuka sehemu gani kwenye biblia kuna kuwombea marehemu? Hawasomi biblia wao ni kufata tu Padri anachofanya! Someni neno la Mungu!
Umeshakengeuka! Sehemu gani kwenye Biblia hakuna kumwombea marehemu?
 
Mkuu nyinyi mambo ni mengi sana! Dead is dead bro! Hakumbuki na kitabu chake kishafungwa! Na ibada nyingine ni kuabudu sanamu ya yesu kitu ambacho hakitakiwi!
 
Hakukuwa na haja ya kukimbiza mwenge. Hii biashara imepitwa na wakti
 
Mkuu nyinyi mambo ni mengi sana! Dead is dead bro! Hakumbuki na kitabu chake kishafungwa! Na ibada nyingine ni kuabudu sanamu ya yesu kitu ambacho hakitakiwi!
Wewe ndiye unayesema? Mbona unalazimisha! Wewe ni Mungu kusema dead is dead? Au unafahamu walipo? Nani kakudanganya sanamu inaabudiwa? Mchungaji wako au?
 
Mwenge wa uhuru ni kielelezo tosha cha matumizi mabaya ya fedha za walala hoi, tangu uanze kukimbizwa ukimuuliza mwanachi wa kawaida atakwambia haoni faida yake zaidi ya kusambaza ukimwi na corona kwenye mikesha na misafara.
 
Wewe ndiye unayesema? Mbona unalazimisha! Wewe ni Mungu kusema dead is dead? Au unafahamu walipo? Nani kakudanganya sanamu inaabudiwa? Mchungaji wako au?
Wewe endelea kuabudu sanamu na wafu! Mi sikuzuii nakushauri!
 
Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!

Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Kwani wewe utaishi milele?

Jitambue
 
Back
Top Bottom