Mwenye app ya NALA ana jina kubwa kuliko app, kafanikiwa kwa sababu kasoma International schools sio kwa app, wewe mara ya mwisho umetumia Nala lini?

Unajua kwa nn payment App nyingi Africa zimefunga japo kuna ambazo zilishapata 20x times funds alizopata benj?

Ni kwa sababu hii biashara ni ngumu kutengeneza faida.

Kuna miamala lazima settlement ifanyikie nchi fln, na huko lazima ukatwe fee. Profit ya hizo apps ni hizo fee/charges wanazowala watumiaji wao, ambazo na wao wanakuja kulipia pia kwa hizo third parties, mwisho wa siku hii ni biashara ambayo ni ngumu sana kucontrol profit margin yako.

Jamaa wa nala akiweka creativity akaincorporate tech ya ripple net labda anaweza ongeza profit margin, lkn hata kama upewe mabillion ya funds, biashara kama haitengenezi faida that's a hobby, not a business. Na ndo maana rafiki zake Dash walishafunga ofisi zamani sana na wengine wanaendelea kufunga.

Anyway sio story mpya kwenye Tech, kuna yule mwanamke wa Theranos, Elizabeth Holmes, na wengine wengi huwa wanakuja hivihivi, wanaonekana very smart kumbe yaliomo hayamo. Watu kama sie tunaoishi kwenye tech na kucreate plus kuoptimize products at the same time tuko business aware tunajua kinachoendelea
Hauwezi kufananisha Nala na Theranos ile ilikuwa fraud research za bandia yuko ndani yule dada nadhani sasa. Nala wanapambana na soko tu.

Yes kama nilivyosema ni ngumu kwa sababu zengine sio sababu ya tech lakini waliyajua hayo walipofanya investment tatizo uchumi umebadilika, idea ya kuweka crypto ndo mbovu kabisa haisolve problem yoyote.
 
Jamaa uliyemjibu kaandika vitu vingi halafu hata sioni relevance.

All that NALA needs to do is give better rates than the competition, guarantee making profit after operations costs and fees, and corner the market on volume.

They have enough of a challenge with compliance and market penetration doing that alone, why would they overcomplicate things with crypto and all that jazz?

Ingekuwa NALA washashinda that initial stage, labda hapo angeweza kusema watafute growth zaidi huko kwenye crypto.

Sasa watu hata growing pains hawajamaliza unataka waende kwenye ma crypto ambayo yana swing up and down more than the Dow Jones? With all kinds of complicated network challenges and all type of dark wizardry?

I was reading Michael Lewis' "Going Infinite:The Rise and Fall of a New Tycoon". Michael Lewis anaongelea rise and fall of Sam Bankman-Fried. The guy had a good thing going just being an exchange (FTX). He was minting money just being an exchange. But noo, he had to make his own coin and mess things up with Alameda.

NALA akinipa better rates than Sendwave nitampa business, na watu kama mimi tupo karibu milioni moja, akitupata a tenth of that tu, akachukua cha juu kidogo tu, kwa siku atatengeneza hela nzuri sana na sisi tutafurahia kupata rates zilizo bwtter than Sendwaves na World Remits.

Na vile tunamuona anakuja kwenye events za wabongo mara Boston, mara New York, si ndiyo tunaona our boy is giving back, kwa nini tumpe business Mmarekani wa Sendwave na si Benjamin ambaye mimi nilikuwa naweza kumuita sehemu kwenye call akaja mwenyewe kuelezea NALA ni nini na inafanya kazi vipi?
 
utasiki Nala imepata tuzo flani, Nala imepata sponsors, Nala imealikwa Marekani ama Ulaya kwenye kikao cha Tech.

Ajabu ni kwambai hata wewe ukijiuliza ni lini mara ya mwisho umetumia Nala unaweza ukasugua sana kichwa.

Kwangu nachoona ni kwamba kijana Fernandez alisomea shule hizi International schools za mitaala international (achana na hizi international za mchongo zinapiga pepa za Necta), wanafunzi kibao ni watoto wa mabalozi wa nchi, watoto wa ma ceo wa makampuni makubwa, watoto wa matajiri wanaojua kwamba kuna shule nzuri kuzidi hizi saint francis na Feza zenye elimu ya kikoloni mpaka leo.

Kwa shule hizo naona zilimsaidia zaidi kujenga mazingira ya mafanikio yake ya sasa kuanzia kupata wafadhili, kupata connections, exposure, n.k. class mates waliochagua waajiriwe ni kawaida sana kuwakuta Inernational corporations kama WHO, UN, Google, Microsoft, n.k. hivyo pana connections nzito sana na information kupeana info muhimu ambazo hata ugoogle vp ni ngumu kuzipata, Hizi mambo za ufadhili ama kupewa tuzo za pesa ukiwa umesomea huko ni greese kwenye vyuma, n.k.

Huwezi kulinganisha na hawa IT waliosomea shule zenye exposure ndogo za kuweza kujimix na mataifa mengine, connections chache za kimataifa, uwezekano wa asilimia 0.01 kusoma nje, n.k.
Mi nadhani tatizo ni mifumo yetu ya kiutawala,haina mpango wa kuwainua wazawa.
Inakuwaje nchi za nje zimpe tuzo Fernandes wakati alitakiwa kupewa tuzo na taasisi za humu ndani
na kwenye hizo tuzo wanaalikwa mabalozi kama sehemu ya kumnadi mhusika.

Angalia mfano mzuri ni founder wa jf,niliona anapewa tuzo huko nje wakati humu ndani
ni kama tunaona kitendo cha kuweka jukwaa huru la upashanaji habari ni kama vile ni kosa.
Mataifa ya nje yanampa tuzo,sisi tunaona ni tatizo.
 
Mbona umepick mfano mmoja tu, kwa nn hujaongelea Dash?

Na pia sijasema aweke crypto, nimesema atumie ripple net, ripple net ni network inayotumika kufacilitate low cost international transfers kwa kutumia 'blockchain-like' technology. Maybe ulidhan naongelea XRP. Ripple net banks kibao zinaitumia sikuhizi
 
Kitu kile kile, unaongelea mambo ambayo hujui ukidhan unajua.

Nani kasema NALA aweke crypto? Nimesema kwa nini asitumie ripple net. Na ujuaji wako wote huo hujui ripple net ni nini na inafanya kazi gani, unakuja hapa kudhan nasemea XRP.

Na kwa taarifa yako NALA nmeanza kuifuatilia muda sana toka ana simulate zile USSD calls kwenye version ya kwanza kabisa kwa kutumia library ya usehover akitudanganya kwamba app yake inatumika kutuma hela tena kwa security kubwa (refer first interview alofanya na millard) so najua ninachoongelea, that product is overhyped kwa sababu ya status yake tu.

Na kwa nini usiniquote mm directly uje uniquote by reference? You have no guts to engage me sababu huwezi make a valid argument, vilaza tu ndo wanakuonaga wa maana humu kumbe zero.
 
Mkuu,

Habari ya crypto nimejibu per Kang.
Ripple naifahamu, na wewe ungeifahamu ungejua matatizo yake ya compliance na SEC na mambo ya fraud na debate nzima ya XRP ni security au commodity.

This is the whole Sam Bankman-Fried saga I mentioned above repeating again.

Yani mambo hayajapitishwa SEC walikoanzisha wenyewe wewe mbongo unataka kuyafakamia huko Tanzania na Kenya in the wild wild west ambako hata waziri wa fedha hajui XRP ni nini?

Do you know that will mean NALA itapigwa ban US, very likely EU too?

Mkenya anavyojipendekeza kwa Marekani unafikiri akilimwa barua moja tu ya SEC ya AML atamuachia NALA aendelee hapo?

You really want to mess this up royally huh?
 
Naona unanichukia. Nakuvunjia amani yako kwa kutoa maoni yangu.

Sipendi iwe hivyo.

Ah, sawa mkuu. Mimi kilaza. Sina uwezo wa kuku quote wewe directly.

Unlike you, mimi sipo hapa kushindana nani zaidi na kutafuta sifa kutoka kwa watu ambao siwajui na wala sitegemei kukutana nao maishani mwangu.

Chukua kikombe basi. Wewe ni zaidi. Mimi si lolote.

Na ili nisi ku quote directly kimakosa, wewe uliye zaidi, nakupeleka ignore list.

Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.

Na wewe unaweza kufanya hivyo hivyo kwa sababu mimi ni kilaza.

Utajibizana nini nami kilaza?

Mwaka huu sitaki matatizo na watu kwa kujibizana shombo.
 
Good. Bora umekubali wewe ni kilaza sababu kesi za Ripple unazoongelea wao wameshazishinda toka zamani. Na tech-business guy yyt angeona hili kwamba walikua wanaenda kushida, kesi yao sio kama ya CZ na binance. Ni vile huna point tu, unalazimisha.

Screenshot_20240130_111107_Chrome.jpg

Mimi nikicomment kitu kuhusu Tech nacomment kitu nilicho na uhakika nacho.

Nilishakwambia toka kwenye debate yetu kule kwenye uzi wangu wa Taoism kwamba uko too soft, too weak, a boy who when fails to make a valid argument runs to his mom's house and locks the doors.

Wewe niweke kwenye ignore list lkn mm sitokuweka coz sio soft au weak kama ww, I can still see your bullshit arguments and still forgive you for your stupidity.
 
We kwani hutujui tunavyopenda kupigana madongo wenyewe kwa wenyewe?

Unakuta mtu hana hata ki website cha ku process credit card payments za watalii watatu kwa mwezi, anakuja kuponda NALA ambayo hata hajui blood, sweat and tears zilizotumika kuisimamisha.

Wabongo hatupendani, na hii ni moja ya sababu hatuendelei.
Sio wabongo tu! Waafrica kwa ujumla hatupendani

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mbona umepick mfano mmoja tu, kwa nn hujaongelea Dash?

Na pia sijasema aweke crypto, nimesema atumie ripple net, ripple net ni network inayotumika kufacilitate low cost international transfers kwa kutumia 'blockchain-like' technology. Maybe ulidhan naongelea XRP. Ripple net banks kibao zinaitumia sikuhizi
Nimeongelea Theranos kwa kuwa umeleta mfano ambao ni offside kabisa hakuna fraud inayojulikana inayotokea NALA so mfano wako ulikuwa ovyo sana kujaribu kuhusisha fraud.

Ripple/Crypo/Blockchain haisolve issue yoyote kwa NALA hakuna issue kwenye kutransmit information yoyote ni kitu simple sana, tatizo ni compliance/regulations/incumbents wazito etc its not a technology issue. Tena kuanza kuhusiana na kampuni ambayo ilishitakiwa US kungeleta matatizo zaidi na regulators wetu walivyo waoga.
 
Tido Mhando pia alidanganywa na Kikwete (CCM) akaacha kazi BBC akarudi nyumbani, alipoanza kuifanyia reform tu TBC vizee vya CCM kina Makamba wakamuona huyu si mwenzentu anatuletea uzungu hapa wakati Bongo ubabaishaji ndio priority.

Nadhani Salim Kikeke haijapata somo Kwa Tido, kuna mtu amemdanganya Salim Kikeke na nadhani baada ya Zuhura Yunus kupewa kazi Ikulu huyu mshkaji kaingizwa chaka kuachia kazi BBC, naweza nisiwe Sahihi lakini I think so.
Na mwizie charles si yupo white house kisiwa?
 
Mi nadhani tatizo ni mifumo yetu ya kiutawala,haina mpango wa kuwainua wazawa.
Inakuwaje nchi za nje zimpe tuzo Fernandes wakati alitakiwa kupewa tuzo na taasisi za humu ndani
na kwenye hizo tuzo wanaalikwa mabalozi kama sehemu ya kumnadi mhusika.

Angalia mfano mzuri ni founder wa jf,niliona anapewa tuzo huko nje wakati humu ndani
ni kama tunaona kitendo cha kuweka jukwaa huru la upashanaji habari ni kama vile ni kosa.
Mataifa ya nje yanampa tuzo,sisi tunaona ni tatizo.
Unapofanya biashara halafu unategemea eti serikali ikuinue jua ushafeli
 
Kuna biashara ili zifanikiwe serikali lazima itengeneze mazingira ...we unadhani biashara kama amazon ingefanikiwa bila kuwepo miundo mbinu iliyotengenezwa na serikali?
Mkuu

Tusiongee sana

Taja jina la biashara halafu uniambie serikali inatakiwa iweke zingira gani ili ifanyike?

HAKUNA

Kama unabisha,itaje!
 
utasiki Nala imepata tuzo flani, Nala imepata sponsors, Nala imealikwa Marekani ama Ulaya kwenye kikao cha Tech.

Ajabu ni kwambai hata wewe ukijiuliza ni lini mara ya mwisho umetumia Nala unaweza ukasugua sana kichwa.

Kwangu nachoona ni kwamba kijana Fernandez alisomea shule hizi International schools za mitaala international (achana na hizi international za mchongo zinapiga pepa za Necta), wanafunzi kibao ni watoto wa mabalozi wa nchi, watoto wa ma ceo wa makampuni makubwa, watoto wa matajiri wanaojua kwamba kuna shule nzuri kuzidi hizi saint francis na Feza zenye elimu ya kikoloni mpaka leo.

Kwa shule hizo naona zilimsaidia zaidi kujenga mazingira ya mafanikio yake ya sasa kuanzia kupata wafadhili, kupata connections, exposure, n.k. class mates waliochagua waajiriwe ni kawaida sana kuwakuta Inernational corporations kama WHO, UN, Google, Microsoft, n.k. hivyo pana connections nzito sana na information kupeana info muhimu ambazo hata ugoogle vp ni ngumu kuzipata, Hizi mambo za ufadhili ama kupewa tuzo za pesa ukiwa umesomea huko ni greese kwenye vyuma, n.k.

Huwezi kulinganisha na hawa IT waliosomea shule zenye exposure ndogo za kuweza kujimix na mataifa mengine, connections chache za kimataifa, uwezekano wa asilimia 0.01 kusoma nje, n.k.
Nala sio social network kila mtu aitumie,

Nala ni kwa ajili ya watu walioko nje kutuma pesa ndani ya Tanzania.

So Yeye anashindana na watu wengine walioko kwenye biashara ya aina hiyo
 
Back
Top Bottom