Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Bongo tunahitaji sana mfumo wa malipo utakaounganisha M-pesa na website, app za biashara. Mambo yawe yanajiunga automatically.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuChief si nimekutolea mfano wa Amazon hapo juu? Imagine unataka kufanya biashara kama amazon kibongongo ikiwa kila sehemu miundo mbinu ipo hoi na ujenzi holela kila kona
Please explain sirBongo tunahitaji sana mfumo wa malipo utakaounganisha M-pesa na website, app za biashara. Mambo yawe yanajiunga automatically.
M-pesa nikimaanisha(vodacom M-pesa, tigo pesa, Airtel Money, halopesa et al) kwa ujumla wake hizi zote zinatumika na watanzania wengi sanaPlease explain sir
Why M-pesa only wakati for now even M-Pesa is not the biggest in TZ?
Wabongo wanachonga sana yaanihiyo program kibongo bongo huwezi kuielewa... inatumiwa sana na wakenya... pamoja na Diaspora...!
Ungesema "Mobile Money" hahaaaaM-pesa nikimaanisha(vodacom M-pesa, tigo pesa, Airtel Money, halopesa et al) kwa ujumla wake hizi zote zinatumika na watanzania wengi sana
ndo maana nashindwa kuelewa mbongo wa kawaida why unahitaji NALA????hiyo program kibongo bongo huwezi kuielewa... inatumiwa sana na wakenya... pamoja na Diaspora...!
Nadhani mobile money zote nchini zinatumia mfumo wa M-pesa(sina hakika sana).Ungesema "Mobile Money" hahaaaa
Hebu elezea vizuri hiyo App
Maana naona ni kama Payment Company tu,kama ilivyo Selcom inafanya yote hayo,nipe tofauti yako na wao ni nini?
Mkuu unapoendelea kutaja M-pesa unazidi nichanganyaNadhani mobile money zote nchini zinatumia mfumo wa M-pesa(sina hakika sana).
Tuseme mtu anataka kufanya subsciption kwenye app, webiste nk. Alipe kwa tigo pesa, halopesa nk na aungwe automatically. Kama ni site ya kuuza vitu basi alipe moja kwa moja kwa hizi njia. Ziwe kama google pay au beem zinavyofanya kazi.
Nikajua M-pesa ndiyo system inayotumiwa na Voda, tigo na wengine wote wakitofautiana majina tu. Nilikuwa nazungumzia kitu automatic kama google pay. Kwa sasa unaweza kulipa moja kwa moja kwenye google pay kutumia billing ya hizi tigo pesa na mpesa, lakini zinakuwa kama credit card.Mkuu unapoendelea kutaja M-pesa unazidi nichanganya
Mpesa ni separate service kama ilivyo Tigopesa,Halopesa,T-pesa,etc
Underlaying technologies inaweza kua sawa au tofauti
Kulipia directly kwa mobile money kwenye website sasa hivi ipo kama Airtel Money,Tigopesa,M-pesa....API's zipo
Google Pay ni noma maana inakutambua directly ndio maana ipo seemlessly,kama Apple Pay pia
Shida ya mobile money ni mpaka utambulike kwa phone number,lazima uingize manually mzee
Hebu nipe njia yako unayotaka ni tofauti kivipi,naona nione
Hapo hautakua huru kiivyoNikajua M-pesa ndiyo system inayotumiwa na Voda, tigo na wengine wote wakitofautiana majina tu. Nilikuwa nazungumzia kitu automatic kama google pay. Kwa sasa unaweza kulipa moja kwa moja kwenye google pay kutumia billing ya hizi tigo pesa na mpesa, lakini zinakuwa kama credit card.
Tunahitaji mfumo mtu alipe kwa tigo pesa, pesa ziende kwenye tigo pesa ya muuzaji na mnunuzi apate huduma automatically. Hata usipoweka app playstore uweze kuweka huo mfumo na kufanya biashara vizuri tu. Na hata playstore labda waweze kuuruhusu kama mfumo mbadala wa malipo.
Kwani Ile "SAMA PAY" ya Samatta illishia wapi?Mi nadhani "creativity" iko overhyped katika biashara, sio lazima kuwa creative kupata mafanikio cha muhimu ni execution ya hiyo business.
Hizi payment platform haziko technically complex kihivyo ila zinahitaji kazi kubwa kwa sababu ya regulation/compliance/sheria katika masuala ya kuhamisha pesa hasa kimataifa.
What's your point? You seems to be a hater.utasiki Nala imepata tuzo flani, Nala imepata sponsors, Nala imealikwa Marekani ama Ulaya kwenye kikao cha Tech.
Ajabu ni kwambai hata wewe ukijiuliza ni lini mara ya mwisho umetumia Nala unaweza ukasugua sana kichwa.
Kwangu nachoona ni kwamba kijana Fernandez alisomea shule hizi International schools za mitaala international (achana na hizi international za mchongo zinapiga pepa za Necta), wanafunzi kibao ni watoto wa mabalozi wa nchi, watoto wa ma ceo wa makampuni makubwa, watoto wa matajiri wanaojua kwamba kuna shule nzuri kuzidi hizi saint francis na Feza zenye elimu ya kikoloni mpaka leo.
Kwa shule hizo naona zilimsaidia zaidi kujenga mazingira ya mafanikio yake ya sasa kuanzia kupata wafadhili, kupata connections, exposure, n.k. class mates waliochagua waajiriwe ni kawaida sana kuwakuta Inernational corporations kama WHO, UN, Google, Microsoft, n.k. hivyo pana connections nzito sana na information kupeana info muhimu ambazo hata ugoogle vp ni ngumu kuzipata, Hizi mambo za ufadhili ama kupewa tuzo za pesa ukiwa umesomea huko ni greese kwenye vyuma, n.k.
Huwezi kulinganisha na hawa IT waliosomea shule zenye exposure ndogo za kuweza kujimix na mataifa mengine, connections chache za kimataifa, uwezekano wa asilimia 0.01 kusoma nje, n.k.
Opinion is like an ass, everyone's got one.Mimi nikisemaga naambiwa ohh, una wivu. Hapa hatuongelei wivu. Nala haina creativity, that's it. Huwezi kunambia niite white nyeusi na black nyeupe.
little creativity, too much words. Na unajua nn, talking is always cheap. Jamaa anataka kuwa celebrity kama elon musk lkn hana technical edge.
Fintech apps kwa africa zilikua ni hype tu, na nyingi zimeshafunga ofisi.