Mwenye app ya NALA ana jina kubwa kuliko app, kafanikiwa kwa sababu kasoma International schools sio kwa app, wewe mara ya mwisho umetumia Nala lini?

Chief si nimekutolea mfano wa Amazon hapo juu? Imagine unataka kufanya biashara kama amazon kibongongo ikiwa kila sehemu miundo mbinu ipo hoi na ujenzi holela kila kona
Mkuu

Amazon huijui,hujui ilivyoanza na hujui US government inamsaidia nini Amazon,HAKUNA!

Sana sana Amazon ndio anaisaidia US government.

Mkuu hujajibu swali,taja biashara Tanzania ambayo inahita zingira la serikali ili iweze kufanyika?

Serikali kazi yake ni kutoa LESENI full stop halafu ikae mbali mita milioni moja!

BASI!
 
M-pesa nikimaanisha(vodacom M-pesa, tigo pesa, Airtel Money, halopesa et al) kwa ujumla wake hizi zote zinatumika na watanzania wengi sana
Ungesema "Mobile Money" hahaaaa

Hebu elezea vizuri hiyo App

Maana naona ni kama Payment Company tu,kama ilivyo Selcom inafanya yote hayo,nipe tofauti yako na wao ni nini?
 
Ungesema "Mobile Money" hahaaaa

Hebu elezea vizuri hiyo App

Maana naona ni kama Payment Company tu,kama ilivyo Selcom inafanya yote hayo,nipe tofauti yako na wao ni nini?
Nadhani mobile money zote nchini zinatumia mfumo wa M-pesa(sina hakika sana).

Tuseme mtu anataka kufanya subsciption kwenye app, webiste nk. Alipe kwa tigo pesa, halopesa nk na aungwe automatically. Kama ni site ya kuuza vitu basi alipe moja kwa moja kwa hizi njia. Ziwe kama google pay au beem zinavyofanya kazi.
 
Nimewahi itumia mwaka 2019 kama sikosei iko poa tu mbona. Kuhusu kuacha usiniulize maana ni app nyingi tu nimeacha kutumia.
 
Nimeona comment za watu kama wana ujuzi wa IT humu ila, nasema ila, nasema ila tena. Wana wivu, alafu wanapotosha hadi wasiojua alichoandika mtoa thread. Kuna wengine wanaunga Mkono.

Usipotumia haimaanishi kibaya, au hakifai, Bali Huna mahusiano nacho.
Huwezi nunua embe bichi, kama hulihitaji, tunaopenda tutanunua na kuweka na pilipili ya unga.
90% ya watanzania waishio Uingereza, wanaotembea uingereza, wanaofanya biashara uingereza, WANATUMIA NALA, siijasema kenya hapo bado. And everyday transactions.
Huyu anayesema NALA ni hyoe tu, yeye ni nani? Kuacha na jina au kisoma cha Benji, NALA, imefanya kitu, amejitahidi, we need nothing more, amejitahidi, atajijua mwenyewe na usomi au utajiri wake. Huyu jamaa mm simfahamu vzuri ila naifahamu NALA vizuri
 
Mkuu unapoendelea kutaja M-pesa unazidi nichanganya

Mpesa ni separate service kama ilivyo Tigopesa,Halopesa,T-pesa,etc

Underlaying technologies inaweza kua sawa au tofauti

Kulipia directly kwa mobile money kwenye website sasa hivi ipo kama Airtel Money,Tigopesa,M-pesa....API's zipo

Google Pay ni noma maana inakutambua directly ndio maana ipo seemlessly,kama Apple Pay pia

Shida ya mobile money ni mpaka utambulike kwa phone number,lazima uingize manually mzee

Hebu nipe njia yako unayotaka ni tofauti kivipi,naona nione
 
Nikajua M-pesa ndiyo system inayotumiwa na Voda, tigo na wengine wote wakitofautiana majina tu. Nilikuwa nazungumzia kitu automatic kama google pay. Kwa sasa unaweza kulipa moja kwa moja kwenye google pay kutumia billing ya hizi tigo pesa na mpesa, lakini zinakuwa kama credit card.

Tunahitaji mfumo mtu alipe kwa tigo pesa, pesa ziende kwenye tigo pesa ya muuzaji na mnunuzi apate huduma automatically. Hata usipoweka app playstore uweze kuweka huo mfumo na kufanya biashara vizuri tu. Na hata playstore labda waweze kuuruhusu kama mfumo mbadala wa malipo.
 
Hapo hautakua huru kiivyo

Huenda una njia mkuu,tupe njia tuone!
 
Kwani Ile "SAMA PAY" ya Samatta illishia wapi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
What's your point? You seems to be a hater.
 
Opinion is like an ass, everyone's got one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…