Mwenye app ya NALA ana jina kubwa kuliko app, kafanikiwa kwa sababu kasoma International schools sio kwa app, wewe mara ya mwisho umetumia Nala lini?

Tunaiomba serikali elimu itolewe kwa wananchi kama mleta mada.
 
Nala ni International money transfer iliyojikita zaidi ku transfer pesa kutoka nchi zilizoendelea kuja Afrika au third world countries sio internal transfer za ndani ya nchi kama airtel money,tigo pesa ,Mpesa au halotel money uelewe hilo mleta mada mpumbavu wewe
 
Mleta mada ana upeo mdogo mno wa akili anadhani Nala ni sawa na Tigo Pesa,Mpesa,Airtel Money na Halopesa local money transfer Msamehe bure mjinga huyo na asiye na exposure yuko too local na shalow kichwani
 
Naona investors wameukataa huu uzi! 🤣 NALA imelamba investment mpya $40 million waweze kupanua biashara yao hasa kulenga biashara badala ya watu wa kawaida na kulenga mabara mapya ya Asia na Amerika Kusini.

 
Wrong
 


Mkizeeka mtakua wachawi. Mnaumia kuona mtu kafanikiwa kama sio uchawi ni nini?
 
Kuna biashara ili zifanikiwe serikali lazima itengeneze mazingira ...we unadhani biashara kama amazon ingefanikiwa bila kuwepo miundo mbinu iliyotengenezwa na serikali?
Mkuu

Hivi nitajie hiyo NJIA serikali inaweka ili biashara zifanye kazi?

Itaje hiyo njia kama sio kutoa leseni tu which is a paper!

Msaada serikali inaweza toa ni KUKAA MBALI na kutoingilia biashara!

BASI!
 
Nala iko dodoma njia ya kwenda singida
 
Pia NALA alikuwa mtoto wa King Mufasa katika The Lion King amabye kwenye the lion King2 alikuja kuolewa na Kovu
 
Leo kafanya majaribio ya kutuma pesa kutoka Marekani kwenda Ufilipino.

Mwamba anatafuta pesa, wengine wanatafuta ni wangapi wanatumia app yake.

Kuishi ni kuchagua.
 
Unajua ila kazi ya App yenyewe na matumizi yake? wewe upo sahihi kuliko waliweka 80b umo, sijui wa Tz tuna nn nakuchukia maendeleo ya watu.
 
Unajua ila kazi ya App yenyewe na matumizi yake? wewe upo sahihi kuliko waliweka 80b umo, sijui wa Tz tuna nn nakuchukia maendeleo ya watu.

Hao ndo wabongo mkuu
 
Naam
 
Haya XRP (Ripple) Alifutiwa mashitaka yake na sasa elon anaimendea Ripple Aintegrate na Twitter.

Zamani nilitoa ushauri hapa NALA ajaribu ku-utilize RippleNet ila kuna wajuaji wakaja juu, sasa tusubiri kwa X (Twitter) itakuaje.



And numbers don't lie. Toka hii habari ivuje XRP (Product ya Ripple) inatembea kwa speed ya 5g
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…