REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Natoka zangu Mwanza nimechoka drive nikasema nipumzike Nzega, Mungu wangu yani mtu ana Birthday yake anaongoza Baa nzima
Mmiliki sikujui ujui ila huu ujinga usikubali tena. Nzega siyo kijiji hapo ni senta ya nchi na nje ya nchi miye nimeondoka baada ya huo ujinga so mmiliki wa hilo eneo play safe Nzega si porini acha endekeza ujinga uliofanyika jana