REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Nimekusoma Mkuu, malalamiko ya mlevi kama haujapiga vitu huwezi kuelewa hata kaandika Nini! Si kwa sisi mukide... mwana wamekukata stimu wakati umelipia uliza kwa Magige hapo mtaa wa 2 upate pombe majani bili nitakuja lipa. Kukicha.Natoka nzangu mwanza nimechoka drive nikasema nipumzike Nzega mungu wangu yani mtu ana Birthday yake anaongoza bar nzima
Mmiliki sikukuu unijui ila huu ujinga usikubali tena nzega siyo kijiji hapo ni senta ya nchi na nje ya nchi miye nimeondoka baada ya huo ukonga so mmiliki wa a hilo eneo play safe Nzega si porini acha endekeza ujinga uliofanyika jana
[emoji23]Sawa. Tunashukuru kujua kua unajua ku-drive!
Kesho tena
Unaendesha Lori la kampuni gani?Natoka zangu Mwanza nimechoka drive nikasema nipumzike Nzega, Mungu wangu yani mtu ana Birthday yake anaongoza bar nzima
Mmiliki sikujui unijui ila huu ujinga usikubali tena. Nzega siyo kijiji hapo ni senta ya nchi na nje ya nchi miye nimeondoka baada ya huo ujinga so mmiliki wa hilo eneo play safe Nzega si porini acha endekeza ujinga uliofanyika jana
Kama bukoba round about ina mgombaMikoa ya kilimo hio,si ajabu kukuta round about imepandwa michicha na matembele.
Mambo ya Bata sio kipaumbele Chao.
Dah! wewe kibokoππUnaendesha Lori la kampuni gani?
Hiyo club inajaza Sana madereva wa ma fuso.
Mlisimamishwa bar nzima kuimba happy birthday to you? π€£π€£π€£Natoka zangu Mwanza nimechoka drive nikasema nipumzike Nzega, Mungu wangu yani mtu ana Birthday yake anaongoza Baa nzima
Mmiliki sikujui ujui ila huu ujinga usikubali tena. Nzega siyo kijiji hapo ni senta ya nchi na nje ya nchi miye nimeondoka baada ya huo ujinga so mmiliki wa hilo eneo play safe Nzega si porini acha endekeza ujinga uliofanyika jana
Andika kiswahili tu hicho kingereza chako.mmmmmSipendi huo ujinga wa kutushirikisha upumbavu wa besdei za hao mandezi, they need no wait night to let us know their slavery, they workout birthday that they aren't even aware about. Foolish, we non participants of theirs it doesn't concern us. Shame
Haendeshi Fuso huyo Namjua anaendesha yale matrekta madogo.ya power Tiller shambani kwanguUnaendesha Lori la kampuni gani?
Hiyo club inajaza Sana madereva wa ma fuso.
Sipendi huo ujinga wa kutushirikisha upumbavu wa besdei za hao mandezi, they need no wait night to let us know their slavery, they workout birthday that they aren't even aware about. Foolish, we non participants of theirs it doesn't concern us. Shame
Si ndio nikashangaa utaratibu wawapi huuπππMlisimamishwa bar nzima kuimba happy birthday to you? π€£π€£π€£
Ha haaa so wote mkasimama na wewe ukiwemo? Sipati picha πSi ndio nikashangaa utaratibu wawapi huuπππ
Aisee nini wewee?Aisee