Mwenye club figtnes Nzega ujinga uliofanyika usiku wa leo usikubali ujirudie

Sipendi huo ujinga wa kutushirikisha upumbavu wa besdei za hao mandezi, they need no wait night to let us know their slavery, they workout birthday that they aren't even aware about. Foolish, we non participants of theirs it doesn't concern us. Shame
Huu ushamba pia nimeuona huko Mpanda, Katavi. Yaani mtu unaenda zako Bar kula bia na mziki mnene unakuta Bar yote ni Birthday ya mtu daaah..
 
Huu ushamba pia nimeuona huko Mpanda, Katavi. Yaani mtu unaenda zako Bar kula bia na mziki mnene unakuta Bar yote ni Birthday ya mtu daaah..
Kwan waliokua kwny birthday walkua hawanywi pombe, au pombe kwny birthday ni haramu?
 
Anadrive from mwanza to Nzega ndo aseme kachoka, labda km alikua anaendesha mtumbwi wa vibwengo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au aseme muda ulikuwa umeenda akaamua kupumzika, ila sio kuchoka...watu manafurahisha eti mtumbwi wa vibwengooo
 

Hivi hilo jina la club ni sahihi kweli? Hebu rudia tena kuchek! Then andika kwa kutulia. Nzega iko raha sana. Hebu lete story tena! Ilikuwaje! Maana umeandika kama umefurumshwa kwenye fumanizi!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwan waliokua kwny birthday walkua hawanywi pombe, au pombe kwny birthday ni haramu?
Punguzeni ushamba, haya mambo huwezi kukuta kwenye Bar za kijanja kama Dar, Dodoma, Moro, Arusha nk... You know why? Kwa sababu wanajua vizuri customer care kwa wateja wao wote, kuna ambao hawapendi hayo mambo, kuna wapenda mpira, kuna wapenda mziki.. Wewe ukija na kundi lako la birthday mnatafutiwa sehemu yenu pembeni hukoo muendelee na yenu bila kuleta karaha kwa wengine..
 
Unaendesha Lori la kampuni gani?
Hiyo club inajaza Sana madereva wa ma fuso.
πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Uzi tayari ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…