chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.
Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.
Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.
Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.
Mimi nayofahamu ni hayo