raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Dawa dumu ltr 5 m@#%!eee 😆😂Kuna mwingine Dr. Rahabu almanusura ale hela yangu kwa dawa ya Vidonda vya Tumbo, naambiwa dumu la lita 5 laki 3 likiisha nikachukue lengine nikaona ujinga huo siufanyi nikarudisha pesa yangu kwenye wallet nikaenda nunua Bamia za buku 2, nikala supu yake hadi leo....