Mwenye CV ya Dokta Mwaka

Mwenye CV ya Dokta Mwaka

Kuna mwingine Dr. Rahabu almanusura ale hela yangu kwa dawa ya Vidonda vya Tumbo, naambiwa dumu la lita 5 laki 3 likiisha nikachukue lengine nikaona ujinga huo siufanyi nikarudisha pesa yangu kwenye wallet nikaenda nunua Bamia za buku 2, nikala supu yake hadi leo....
Dawa dumu ltr 5 m@#%!eee 😆😂
 
Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.

Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.

Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.

Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.

Mimi nayofahamu ni hayo
🤣🤣🤣🤣unataka kumuajiri?
 
Halafu wewe kumbe unajua namna ya kuwa milionea na hata hunistui..🤣
Best unaweza lakini kujitoa ufahamu? Umilionea wa aina hii, usiwe na aibu. Yaani kesho tu uamke uweke kwenye mtandao kuna dada, akikuchapa na ufagio unakuwa milionea. Unaanza toa mifano watu wa michongo. Utaona watu watakavyojaa. Tuanze basi 😜😜😜😂😂😂😂😂😂
 
Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.

Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.

Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.

Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.

Mimi nayofahamu ni hayo
Hana elimu yoyote, mtu wa majini tu tena yale ya kununua. Anajiita Dr. kwa sababu anawaombea watu dua kupitia majini yake.
 
Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.

Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.

Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.

Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.

Mimi nayofahamu ni hayo
Ni docta wa tiba asilia.
 
Hana Elimu yoyote ya Level ya Degree. Na alizuiwa na Dr. Kigwangala kujiita Doctor. Siku hizi ktk matangazo yake ya tiba ana kwepa kutumia Doctor, ana tumiaa Tabibu.
Sasa hapo mjinga nani wa kiingereza au kiswahili.
 
Kaachwa Bugatti itakuwa huyo Dr. wa mchongo!! Ila hata Manara nae mambo ni ya michongo tu shule sidhani yule jamaa maana uwa anaropoka ropoka sana. ukiona mtu ngenge nyingi ujue kichwani seti tupu.
Aisee
 
Back
Top Bottom