Mwenye CV ya Dokta Mwaka

Mwenye CV ya Dokta Mwaka

Kuna binti mmoja mtaani kwake alikua anasumbuliwa na tumbo. Akatia timu kwa mzee mzima Juma Mwaka. Wakati binti anasubiri kuitwa alitoka kwenda uani kidogo. Kule uani alikuta wasichana wawili wanatia mavumbi ya magome ya miti kwenye chupa, Ni mavumbi ya aina moja tu, lkn mavumbi hayo ndio dawa ya kila mgonjwa anayejisalimisha kwa huyu mtalaka wa Queen wa kisukuma. Binti alipoingia kwa Juma naye alipewa mavumbi Yale Yale kwa Bei ya ulaya.
Wateja asilimia 90 wa mwaka ni wanawake..
Sio ajabu wife number two and number three walikua Ni wateja wake.
ni kweli hii kuna dawa zake nliagiziwa zamani khaa kila nkijaribu kunywa narudisha chenchi saioio ilibidi nizitupe tu
 
Kuna mwingine Dr. Rahabu almanusura ale hela yangu kwa dawa ya Vidonda vya Tumbo, naambiwa dumu la lita 5 laki 3 likiisha nikachukue lengine nikaona ujinga huo siufanyi nikarudisha pesa yangu kwenye wallet nikaenda nunua Bamia za buku 2, nikala supu yake hadi leo....
Hamna kitu pale. Ingekuwa ni hivyo ulaya si watu wangetibiwa sana. Hela za dhuluma hizi.
 
Jamaa ni mjanja mjanja sana. Enzi hizo alikuwa ana kipindi kila tv station! Akiongelea ishu ya mwanamke kutokupata mtoto, unaweza ukadhani ana tibu kweli!

Kumbe anananua tu malimao na mapapai sokoni, anaweka kwenye makopo! Halafu anawauzia watu kwa shilingi laki 3 mpaka laki 3 na nusu za Kitanzania kwa dozi moja! Eti ndiyo tiba mbadala!!

Nashangaa kuna watu mpaka leo wanaliwa hela na huyu kiumbe. Wizi mtupu.
Mkuuu HV tumejiandaje na michuano yalio mbele yetu [emoji23] shirikisho

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwingine Dr. Rahabu almanusura ale hela yangu kwa dawa ya Vidonda vya Tumbo, naambiwa dumu la lita 5 laki 3 likiisha nikachukue lengine nikaona ujinga huo siufanyi nikarudisha pesa yangu kwenye wallet nikaenda nunua Bamia za buku 2, nikala supu yake hadi leo....
Exactly bamia Ni dawa sahih za vidinda vya tumbo tokea namm nianze kuzila Hadi Leo imeisha hyo

Mm pia nilinusurika kuliwa hyo hyo laki tatu na hyu mpuuz rahabu kwa kuniambi hvyo hvyo mjinga Sana [emoji38] yaani umenikumbusha mbali Sana yaani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Exactly bamia Ni dawa sahih za vidinda vya tumbo tokea namm nianze kuzila Hadi Leo imeisha hyo

Mm pia nilinusurika kuliwa hyo hyo laki tatu na hyu mpuuz rahabu kwa kuniambi hvyo hvyo mjinga Sana [emoji38] yaani umenikumbusha mbali Sana yaani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ulielekezwa kibla.Bahati yako ulikurupuka kabla haujasomewa dua ya kuchinjwa.😂😂😂😂
 
Jamaa anatibu Kweli , hili tatizo yeye na mke wake lisiwatie maneno

Kuhusu kutaka kumshitaki mtu anaponyoka anatakiwa asikilize mke wake anahitaji nini? Na afanye vilee mke wake anahitaji ila kuhusu kutibu jamaa anatibu vizur tu
 
Back
Top Bottom