Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Bongo ukitumia akili vizuri mbona pesa ipo nje nje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli hii kuna dawa zake nliagiziwa zamani khaa kila nkijaribu kunywa narudisha chenchi saioio ilibidi nizitupe tuKuna binti mmoja mtaani kwake alikua anasumbuliwa na tumbo. Akatia timu kwa mzee mzima Juma Mwaka. Wakati binti anasubiri kuitwa alitoka kwenda uani kidogo. Kule uani alikuta wasichana wawili wanatia mavumbi ya magome ya miti kwenye chupa, Ni mavumbi ya aina moja tu, lkn mavumbi hayo ndio dawa ya kila mgonjwa anayejisalimisha kwa huyu mtalaka wa Queen wa kisukuma. Binti alipoingia kwa Juma naye alipewa mavumbi Yale Yale kwa Bei ya ulaya.
Wateja asilimia 90 wa mwaka ni wanawake..
Sio ajabu wife number two and number three walikua Ni wateja wake.
Umecomment kwa hasira sana [emoji23][emoji23]Ahah yeyen nani sasa a asiachwe[emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23]
Hamna kitu pale. Ingekuwa ni hivyo ulaya si watu wangetibiwa sana. Hela za dhuluma hizi.Kuna mwingine Dr. Rahabu almanusura ale hela yangu kwa dawa ya Vidonda vya Tumbo, naambiwa dumu la lita 5 laki 3 likiisha nikachukue lengine nikaona ujinga huo siufanyi nikarudisha pesa yangu kwenye wallet nikaenda nunua Bamia za buku 2, nikala supu yake hadi leo....
Yaani hapo ni kama kusema kaacha kusema water anasema maji.Hana Elimu yoyote ya Level ya Degree. Na alizuiwa na Dr. Kigwangala kujiita Doctor. Siku hizi ktk matangazo yake ya tiba ana kwepa kutumia Doctor, ana tumiaa Tabibu.
Mkuuu HV tumejiandaje na michuano yalio mbele yetu [emoji23] shirikishoJamaa ni mjanja mjanja sana. Enzi hizo alikuwa ana kipindi kila tv station! Akiongelea ishu ya mwanamke kutokupata mtoto, unaweza ukadhani ana tibu kweli!
Kumbe anananua tu malimao na mapapai sokoni, anaweka kwenye makopo! Halafu anawauzia watu kwa shilingi laki 3 mpaka laki 3 na nusu za Kitanzania kwa dozi moja! Eti ndiyo tiba mbadala!!
Nashangaa kuna watu mpaka leo wanaliwa hela na huyu kiumbe. Wizi mtupu.
Exactly bamia Ni dawa sahih za vidinda vya tumbo tokea namm nianze kuzila Hadi Leo imeisha hyoKuna mwingine Dr. Rahabu almanusura ale hela yangu kwa dawa ya Vidonda vya Tumbo, naambiwa dumu la lita 5 laki 3 likiisha nikachukue lengine nikaona ujinga huo siufanyi nikarudisha pesa yangu kwenye wallet nikaenda nunua Bamia za buku 2, nikala supu yake hadi leo....
Amejaaliwa dharau.Ananenepa kwa mihela ya wajinga halafu kwenye teevee anachekacheka muda wote?Yupo bado, mjanja mjanja sana yule baba. Yaani alinawiri kwa hela za wajinga 😄😄😄😄 mjini akili tu.
Ulielekezwa kibla.Bahati yako ulikurupuka kabla haujasomewa dua ya kuchinjwa.😂😂😂😂Exactly bamia Ni dawa sahih za vidinda vya tumbo tokea namm nianze kuzila Hadi Leo imeisha hyo
Mm pia nilinusurika kuliwa hyo hyo laki tatu na hyu mpuuz rahabu kwa kuniambi hvyo hvyo mjinga Sana [emoji38] yaani umenikumbusha mbali Sana yaani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ana Elimu ya hapa na paleHana Elimu yoyote ya Level ya Degree. Na alizuiwa na Dr. Kigwangala kujiita Doctor. Siku hizi ktk matangazo yake ya tiba ana kwepa kutumia Doctor, ana tumiaa Tabibu.
Mpambanaji kivipi?Dokta mwaka ni mpambanaji ni ukweli na kwa sasa namuona ni daktari bingwa wa tiba mbadala , elimu yake kiundani zaidi siifahamu ila ninachojuwa alijifunza tu tiba asili na akabobea.
Hahaha hawa wenzetu cjui wanataka nini huwa hawaridhikiKaachwa Bill Gates itakua yeye
Dr Ndodi aliishia wapi? Yule alijibanza Makanisani, wake zetu tukawa hatuwaambii kituDr. Mwaka na Dr Ndodi Tz ukijua kucheza na maneno, unakuwa milionea haraka sana.
Huitaji hata elimu kubwa, mdomo wako tu, jitangaze kwenye radio na Tv. Subiri wajinga waliwawo waje.