JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Wanadai Manara hana ubingwa. Gari haliendi hadi lisukumwe, sasa huyu mganga, shida ni nini!?Kaachwa Manara huyu nani asiachwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadai Manara hana ubingwa. Gari haliendi hadi lisukumwe, sasa huyu mganga, shida ni nini!?Kaachwa Manara huyu nani asiachwe?
Kuna mwingine Dr. Rahabu almanusura ale hela yangu kwa dawa ya Vidonda vya Tumbo, naambiwa dumu la lita 5 laki 3 likiisha nikachukue lengine nikaona ujinga huo siufanyi nikarudisha pesa yangu kwenye wallet nikaenda nunua Bamia za buku 2, nikala supu yake hadi leo....Dr. Mwaka na Dr Ndodi Tz ukijua kucheza na maneno, unakuwa milionea haraka sana.
Huitaji hata elimu kubwa, mdomo wako tu, jitangaze kwenye radio na Tv. Subiri wajinga waliwawo waje.
Tapeli mwingine huyo dada. Kwanza mwanzo hakuwa amesajiliwa, ni uhuni tu na utapeli. But watu mpaka leo wanawafata wanapigwa kama kawa.Kuna mwingine Dr. Rahabu almanusura ale hela yangu kwa dawa ya Vidonda vya Tumbo, naambiwa dumu la lita 5 laki 3 likiisha nikachukue lengine nikaona ujinga huo siufanyi nikarudisha pesa yangu kwenye wallet nikaenda nunua Bamia za buku 2, nikala supu yake hadi leo....
Kaachwa Bugatti itakuwa huyo Dr. wa mchongo!! Ila hata Manara nae mambo ni ya michongo tu shule sidhani yule jamaa maana uwa anaropoka ropoka sana. ukiona mtu ngenge nyingi ujue kichwani seti tupu.KWELI NIMEAMINI MGANGA HAJIGANGI DOKTA MWAKA NA MAJIVUNO YOTE YALE NA KAACHWA🤒
Siri za mganga mkewe anazo mpaka afungukeWanadai Manara hana ubingwa. Gari haliendi hadi lisukumwe, sasa huyu mganga, shida ni nini!?
Nimesoma huku nikijidai mimi ni msugunsu/sukuma.Na imenikumbusha tangazo la dokita Matunge akichambua kisonono kwenye gazeti la Mfanyakazi miaka ileeee!Wa dokitaa kwani nao wana cv?
Huyu mwaka nafahamu ana:Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.
Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.
Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.
Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.
Mimi nayofahamu ni hayo
Haaahaha sasa hapa umenikumbusha Profesa Vulata...bongo noumer sana. Lakini leo nimesikia hata Babu Tale nae kaukwaa u dr. wa heshima kaungana na kina Musukuma, mkwere, hangaya na wengineo kujipatia udaktari..kwiiikwikwiiiNimesoma huku nikijidai mimi ni msugunsu/sukuma.Na imenikumbusha tangazo la dokita Matunge akichambua kisonono kwenye gazeti la Mfanyakazi miaka ileeee!
Nimemkumbuka Daktari wa meno anamwambia mjomba wake amtafutia kazi ya utanesco ikishindikana hata udaktari unatoshaKiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.
Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.
Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.
Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.
Mimi nayofahamu ni hayo
Aisee! Umenikumbusha mbali sana. Early 90's.Nimesoma huku nikijidai mimi ni msugunsu/sukuma.Na imenikumbusha tangazo la dokita Matunge akichambua kisonono kwenye gazeti la Mfanyakazi miaka ileeee!
Wengine wala hawajitangazi kwenye vyombo vya habari na wanapiga pesa za mazoba, mfano mmojawapo ni Chifu Kiumbe.Dr. Mwaka na Dr Ndodi Tz ukijua kucheza na maneno, unakuwa milionea haraka sana.
Huitaji hata elimu kubwa, mdomo wako tu, jitangaze kwenye radio na Tv. Subiri wajinga waliwawo waje.
Yeye hupendelea barabara ya vumbi hii ni kwa mujibu wa BAKWATA mkoa wa DSM, haya waliyasema kipindi cha ile vita ya Juma Mwaka Juma na shehe wa BAKWATA mkoa.Siri za mganga mkewe anazo mpaka afunguke
Hivi Dokta Ndodi yupo? Mzee wa kufundisha wanaume kufanya kwa muda mrefu [emoji1][emoji1][emoji1]Dr. Mwaka na Dr Ndodi Tz ukijua kucheza na maneno, unakuwa milionea haraka sana.
Huitaji hata elimu kubwa, mdomo wako tu, jitangaze kwenye radio na Tv. Subiri wajinga waliwawo waje.
Yupo bado, mjanja mjanja sana yule baba. Yaani alinawiri kwa hela za wajinga 😄😄😄😄 mjini akili tu.Hivi Dokta Ndodi yupo? Mzee wa kufundisha wanaume kufanya kwa muda mrefu [emoji1][emoji1][emoji1]
kama ni kwel basi sio mwizHuyu mwaka nafahamu ana:
1. PhD naturopath, Madrass, India
2. MSc ayurvedic medicine, Bombay
3. BSc. Botany, Pune
Ulienda kuupdate window mkuu?Jamaa ni tapeli mbaya sana huyu!
Kuna kipindi niliingia ktk 'anga zake' akaniambia dawa anazo.
Alitaka 2M nikamtoka, alinitafuta huyo! 🤣 🤣
Hana Elimu yoyote ya Level ya Degree. Na alizuiwa na Dr. Kigwangala kujiita Doctor. Siku hizi ktk matangazo yake ya tiba ana kwepa kutumia Doctor, ana tumiaa Tabibu.Huyu mwaka nafahamu ana:
1. PhD naturopath, Madrass, India
2. MSc ayurvedic medicine, Bombay
3. BSc. Botany, Pune