Mwenye CV ya Dokta Mwaka

Mwenye CV ya Dokta Mwaka

Dr. Mwaka na Dr Ndodi Tz ukijua kucheza na maneno, unakuwa milionea haraka sana.
Huitaji hata elimu kubwa, mdomo wako tu, jitangaze kwenye radio na Tv. Subiri wajinga waliwawo waje.
Kuna mwingine Dr. Rahabu almanusura ale hela yangu kwa dawa ya Vidonda vya Tumbo, naambiwa dumu la lita 5 laki 3 likiisha nikachukue lengine nikaona ujinga huo siufanyi nikarudisha pesa yangu kwenye wallet nikaenda nunua Bamia za buku 2, nikala supu yake hadi leo....
 
Tapeli mwingine huyo dada. Kwanza mwanzo hakuwa amesajiliwa, ni uhuni tu na utapeli. But watu mpaka leo wanawafata wanapigwa kama kawa.
 
Kuna binti mmoja mtaani kwake alikua anasumbuliwa na tumbo. Akatia timu kwa mzee mzima Juma Mwaka. Wakati binti anasubiri kuitwa alitoka kwenda uani kidogo. Kule uani alikuta wasichana wawili wanatia mavumbi ya magome ya miti kwenye chupa, Ni mavumbi ya aina moja tu, lkn mavumbi hayo ndio dawa ya kila mgonjwa anayejisalimisha kwa huyu mtalaka wa Queen wa kisukuma. Binti alipoingia kwa Juma naye alipewa mavumbi Yale Yale kwa Bei ya ulaya.
Wateja asilimia 90 wa mwaka ni wanawake..
Sio ajabu wife number two and number three walikua Ni wateja wake.
 
Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.

Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.

Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.

Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.

Mimi nayofahamu ni hayo
Huyu mwaka nafahamu ana:
1. PhD naturopath, Madrass, India
2. MSc ayurvedic medicine, Bombay
3. BSc. Botany, Pune
 
Nimesoma huku nikijidai mimi ni msugunsu/sukuma.Na imenikumbusha tangazo la dokita Matunge akichambua kisonono kwenye gazeti la Mfanyakazi miaka ileeee!
Haaahaha sasa hapa umenikumbusha Profesa Vulata...bongo noumer sana. Lakini leo nimesikia hata Babu Tale nae kaukwaa u dr. wa heshima kaungana na kina Musukuma, mkwere, hangaya na wengineo kujipatia udaktari..kwiiikwikwiii
 
Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.

Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni kwake.

Ila huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa Sheik wa tiba za dua kuondoa majini.

Sijui alisoma upepo kipindi cha nyuma tiba asili ziliwapa pesa sana watu kama marehemu dokta tamba.

Mimi nayofahamu ni hayo
Nimemkumbuka Daktari wa meno anamwambia mjomba wake amtafutia kazi ya utanesco ikishindikana hata udaktari unatosha
 
Dr. Mwaka na Dr Ndodi Tz ukijua kucheza na maneno, unakuwa milionea haraka sana.
Huitaji hata elimu kubwa, mdomo wako tu, jitangaze kwenye radio na Tv. Subiri wajinga waliwawo waje.
Wengine wala hawajitangazi kwenye vyombo vya habari na wanapiga pesa za mazoba, mfano mmojawapo ni Chifu Kiumbe.
 
Siri za mganga mkewe anazo mpaka afunguke
Yeye hupendelea barabara ya vumbi hii ni kwa mujibu wa BAKWATA mkoa wa DSM, haya waliyasema kipindi cha ile vita ya Juma Mwaka Juma na shehe wa BAKWATA mkoa.
 
Back
Top Bottom