The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Salaam Wakuu!
Mwenye CV ya huyu Mtanzania mwenzetu, tafadhali aiweke hapa.
Mwenye CV ya huyu Mtanzania mwenzetu, tafadhali aiweke hapa.
😅😅Nahisi ila hali inavyozidi kwenda ndy nikaona niulize CV yakeYuko list ya maponjoro tu huyu
Huyo ni Mwandishi wa Habari km Gondwe ila yeye Mganga wake anajua kuzichanga karata ndio maana yupo alipo😅😅Nahisi ila hali inavyozidi kwenda ndy nikaona niulize CV yake
Ni kada wa chama cha mapinduzi
Kazi inaendana na CV,Cv ya nn tena? Angalia kazi
CVNina namba yake,nikupe??
Hapo sawa, kumbe ni mwandishi wa habari..ni wale wale tu!Huyo ni Mwandishi wa Habari km Gondwe ila yeye Mganga wake anajua kuzichanga karata ndio maana yupo alipo
Imeombwa cv kama huwezi kutoa huo msaada,ngoja aliyetayari kutoa ushirikiani afanye hivyo.Cv ya nn tena? Angalia kazi
Usihofu wadau watatujuza,pia sifahamu kitu.Kwani huyu nani?? Hakika simjui.
Usiusemee moyo bwqna hizi ni harakati za maisha na kutafuta ugali tu pia moyo wa mtu kichaka sheikhNi kada wa chama cha mapinduzi
Ndo mana hii nchi inakwamba. Tunaongozwaje na vilaza?Cv ya nn tena? Angalia kazi
Huyu ni mwanafunzi wa mtwango secondary alimaliza mwaka 1997 na baadae songea boys 1998 - 2000,
Kwamba nimemfahamu leo?Usiusemee moyo bwqna hizi ni harakati za maisha na kutafuta ugali tu pia moyo wa mtu kichaka sheikh
Mwombe ChatGPT atakupatia fasta