Kingmbusel
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 624
- 958
kazi ndio imepelekea tunataka CVCv ya nn tena? Angalia kazi
kazi ndio imepelekea tunataka CVCv ya nn tena? Angalia kazi
Unataka kama nani? Kwani anataka kuomba kazi kwako au kugombea cheo chochote cha siasa hadi utake CV yake?kazi ndio imepelekea tunataka CV
Ok, mtumishi wa umma analipwa mshahara kutokana na pesa za akina nani?Na serikali baada ya kuridhika na CV yake
Alishawahi kuvaa kofia ya ccm akiwa ana report kutoka songea na akaonekana kwenye taarifa ya habariHuyu ni mwanafunzi wa mtwango secondary alimaliza mwaka 1997 na baadae songea boys 1998 - 2000,
Baada ya hapo alikuwa mtangazaji wa redio Tanzania kituo cha songea after form six kabla hajaenda Tsj.
Ni chawa promax wa mama na ccm.
Tupe yako
kwani jana alikuwa anaongea kama nani? yule ni public figure kama KIBAJAJI watu kujua CV yake wewe unatokwa na Mapovu? kwanini wasiombe ya kwako tena wewe una GPA kubwa hivyo?Unataka kama nani? Kwani anataka kuomba kazi kwako au kugombea cheo chochote cha siasa hadi utake CV yake?
Tuliza makalioUnataka kama nani? Kwani anataka kuomba kazi kwako au kugombea cheo chochote cha siasa hadi utake CV yake?
Kazi gani tena?Cv ya nn tena? Angalia kazi
Nipe mkuu muhimu sana kumsalimia na kumwambia No reform No ElectionNina namba yake,nikupe??
mwaka sikumbuki lakini najua alisoma udsmMwaka gani? Tupe cheti chake
O level alisoma wapi? alipata dv ngapi?
A level alisoma wapi? Alipata dv ngapi?
Tupe cheti chake na matokeo yake ya nyuma.mwaka sikumbuki lakini najua alisoma udsm
kama unaamini kasoma cheti na kaandika masters muandikie spika kwamba kasema uongo na atapoteza ubungeTupe cheti chake na matokeo yake ya nyuma.
Hata Tarimba kasoma certificate udsm ila kaandika kasoma masters udsm
Spika yupi wa bunge lipi?kama unaamini kasoma cheti na kaandika masters muandikie spika kwamba kasema uongo na atapoteza ubunge
Tulia AcksonSpika yupi wa bunge lipi?
Amewahi kukubali hoja ipi Bungeni ambayo iko against Serikali na maslahi yake?Tulia Ackson
negative mind yako ndio tatizoAmewahi kukubali hoja ipi Bungeni ambayo iko against Serikali na maslahi yake?
Jifunze kujibu swali unaloulizwa na kuacha kuparamia mambo.negative mind yako ndio tatizo
Yangu ya nini sasa? Huyu ni public figure, na hua ni muhimu kujua CV zao..Tupe yako