Mwenye footage za vita frontline naomba anisaidie

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha anayemimina risasi na upande wa wanaomiminiwa wakiendelea na harakati za kijeshi katika opereshen huku wengine wakihangaika wakifa live.
 
Aisee!
 
Ebwana ndege John, nakaribia kuhamia Masasi kikazi. Inabidi tufanye link up ikikupendeza mzee.
 
Ila mkuu hio no easy task mbona kama ni movie
Siyo movie hiyo ni misemo na hutumika sana na vikosi maalumu (special forces) nyingi tu.

Only the strong survive

Who dares win

Na mingine mingi tu japo inaweza tumika kama hivyo katika movies n.k
 
Back
Top Bottom