ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wagner wametangaza nafasi za kazi, mshahara mnono.....😹Unajambo lako au Siyo
Aisee!Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha anayemimina risasi na upande wa wanaomiminiwa wakiendelea na harakati za kijeshi katika opereshen huku wengine wakihangaika wakifa live.
Ebwana ndege John, nakaribia kuhamia Masasi kikazi. Inabidi tufanye link up ikikupendeza mzee.Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha anayemimina risasi na upande wa wanaomiminiwa wakiendelea na harakati za kijeshi katika opereshen huku wengine wakihangaika wakifa live.
Wagner tena 😳😳😳😳....tusijekusikia wa kwenu wanalia kuwa Urusi wanawalazimisha kufuata kifo Ukraine...Wagner wametangaza nafasi za kazi, mshahara mnono.....😹
No easy task in the battlefield.
2014
DRC
Siyo movie hiyo ni misemo na hutumika sana na vikosi maalumu (special forces) nyingi tu.Ila mkuu hio no easy task mbona kama ni movie