Mwenye fursa au information ya kazi yoyote msaada wako unahitajika

Mwenye fursa au information ya kazi yoyote msaada wako unahitajika

Agent Smith

Member
Joined
Jul 2, 2026
Posts
62
Reaction score
140
Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika.

Kuuza duka, storekeeper, kufanya kazi godown, kazi inayohusu taaluma niliyosemea procurement and logistic management, saidia fundi n.k yaani kazi yoyote ambayo inafundishika mimi naweza kufanya.

Mtaa ni mguu sana kuzalisha au kusurvive ukiwa hauna chochote
 
Ataacha ndala huko. Muhimu azunguke kwny ma site au car washes, akishindwa kbs aje mikoani huku nimpe chakufanya muhimu bia anywe Kila tukifunga mahesabu jioni maana hesabu tunafungia baaa.
 
Back
Top Bottom