Mwenye genge kama hili anaweza akawa na ana kipato kizuri kuliko watumishi wengi wa umma

Mwenye genge kama hili anaweza akawa na ana kipato kizuri kuliko watumishi wengi wa umma

Siku ukiingia kwenye ulimwengu wa biashara utafuta kauli yako japo hamnahamna hapo 20000 Kwa siku hakosi
Kuna jirani yangu mangi aliniambia genge lake anaingiza faida 700,000/- kwa mwezi na vyakula vya nyumbani vyote anapata hapo hajahesabia kwenye faida.
Ilikuwa 2015 - 2020 huko.
 
Napasua kwenye mshono!!

Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Usiidharau kazi yoyote inayomuingizia mtu kipato. Kijana mmoja alimaliza chuo (degree). Kwa kuwa kazi hakuna akafanya biashara ya carrots tena anazipanga chini kwenye mifuko mafungu 500, 1000 nk. Juzi naongea na rafiki yake ananiambia carrots zimempa nyumba, ameoa na anaendesha maisha.
 
Genge kama yale ya KM wa chama kikongwe aliyejiuzuru na baadae kupelekwa mkoa wa Ngoswe? Maana ilidaiwa ana biashara ya magenge ya matunda kila kona ya jiji yanayomwingizia pesa ndefu sana.
 
Napasua kwenye mshono!!

Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
SHida ni aina ya maisha utakayomkuta. Nayo......yaani Mwlimu utakuta watoto wako smart na nyumba anaishi ya malumalu ila.huyu utakuta shagalabagala.

Hawajui tu wanatuzidi vipato.kwa mbali.mno. ila hawajiamini
 
P

Punguza kuangalia Tv series za kina Eli Chapo na Pablo Escobar
Ukimtaja Eli Chapo na Pablo unahamisha mada nzima kutokana na kufuru zao za pesa.

Mtu uchimbe handaki urefu wa kina cha mita 15 kwenda chini, toka posta hadi Urafiki, chini kwa chini, Tanesco waunge na umeme wa grid humo ndani, itandikwe reli ya Sgr chini ya handaki kwa ajili ya kupita mara moja tu, tena dk1 bwana mkubwa akitoroka jela, wadhani hiyo ni habari ndogo?
Usifukue makaburi ya habari mkuu.
 
Napasua kwenye mshono!!

Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Umeweshaweka condition akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa. Hata mtumishi ukimuwekea condition hizo kwa taasisi yake anaingiza pesa kuliko mwenye hilo genge. Kuna watu wanalipwa mpaka over 15mil hapahapa TZ na ni mtumishi wa umma. Hilo genre ukifanya tathmini linaweza kuingiza 15mil per month?
 
Back
Top Bottom