Mwenye genge kama hili anaweza akawa na ana kipato kizuri kuliko watumishi wengi wa umma

Mwenye genge kama hili anaweza akawa na ana kipato kizuri kuliko watumishi wengi wa umma

Mkuu, inategemea na eneo alipo aisee na hiyo 20k unamaanisha net profit sio?

Kuna eneo, sh 10k unanunua parachichi moja, embe dodo mbili/tatu na ndizi mbivu 10, imekwenda!
- Mtu mmoja kutumia 20k hapo ni kawaida.
Profit mkuu
 
Back
Top Bottom