Napasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Mkuu, inategemea na eneo alipo aisee na hiyo 20k unamaanisha net profit sio?hamnahamna hapo 20000 Kwa siku hakosi
Usikute mwenyewe mmiliki wa hilo genge ni mtumishi wa umma kamuajiri mtu amsimamie.Napasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Hii supermarket kabisa 😍Napasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Kuna jirani yangu mangi aliniambia genge lake anaingiza faida 700,000/- kwa mwezi na vyakula vya nyumbani vyote anapata hapo hajahesabia kwenye faida.Siku ukiingia kwenye ulimwengu wa biashara utafuta kauli yako japo hamnahamna hapo 20000 Kwa siku hakosi
Usiidharau kazi yoyote inayomuingizia mtu kipato. Kijana mmoja alimaliza chuo (degree). Kwa kuwa kazi hakuna akafanya biashara ya carrots tena anazipanga chini kwenye mifuko mafungu 500, 1000 nk. Juzi naongea na rafiki yake ananiambia carrots zimempa nyumba, ameoa na anaendesha maisha.Napasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Tunajifariji tu mkuu tuone kutokuwa serikalini bado hatujapoteza tupe connectionMnapendaga sana kuwa diss watumish wa umma, halafu wemyewe hawanaga mda na nyie
Huwa ni wivu ama nn?
Punguza kuangalia filamuGenge dah! Mi akili yangu imewaza mambo ya mafia na cartels.
Duh, kumbe huo ni utajiri tayari.?Huyu ni tajiri mpaka hapo
SHida ni aina ya maisha utakayomkuta. Nayo......yaani Mwlimu utakuta watoto wako smart na nyumba anaishi ya malumalu ila.huyu utakuta shagalabagala.Napasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Ukimtaja Eli Chapo na Pablo unahamisha mada nzima kutokana na kufuru zao za pesa.P
Punguza kuangalia Tv series za kina Eli Chapo na Pablo Escobar
Heading nimesoma vibaya.....mawazo yangu yalinipeleka kwenye genge la chang'ombeGenge dah! Mi akili yangu imewaza mambo ya mafia na cartels.
Umeweshaweka condition akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa. Hata mtumishi ukimuwekea condition hizo kwa taasisi yake anaingiza pesa kuliko mwenye hilo genge. Kuna watu wanalipwa mpaka over 15mil hapahapa TZ na ni mtumishi wa umma. Hilo genre ukifanya tathmini linaweza kuingiza 15mil per month?Napasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400