sio muumin sana wa filamu siku hizi.Punguza kuangalia filamu
Profit mkuuMkuu, inategemea na eneo alipo aisee na hiyo 20k unamaanisha net profit sio?
Kuna eneo, sh 10k unanunua parachichi moja, embe dodo mbili/tatu na ndizi mbivu 10, imekwenda!
- Mtu mmoja kutumia 20k hapo ni kawaida.
Nilisha ifanya miaka 2006โ2010 , nilikuwa kwenye matunda per day unapata 20โ40 elfuSiku ukiingia kwenye ulimwengu wa biashara utafuta kauli yako japo hamnahamna hapo 20000 Kwa siku hakosi
Mtaji wa hapo na mzunguko kaka kama upo ni njia ya kupata utajiri kibongo bongo. Starting pointDuh, kumbe huo ni utajiri tayari.?
Kwa kuwa wengi wanaanxia wawili sikubishiiNapasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Tunaita biashara ya kuoza hiyo, full stressNapasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Acha kuwadanganya wenzako mfanyakazi wa umma ni wa umma tu serikalini wanakulia kivulini..Napasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Anaweza kuwa mtumishi wa umma ndiye mmiliki wa genge hili...!๐๐Napasua kwenye mshono!!
Mwenye genge kama hili akiwa eneo zuri lenye mzunguko wa pesa anaweza akawa na kipato kizuri kuliki watumishi wengi wa umma!View attachment 3152400
Unaangalia sana movie mzee waksz๐๐Genge dah! Mi akili yangu imewaza mambo ya mafia na cartels.