peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Babu yako alikuwa na digri ngapi? Yale Yale ya kumsakama Hayati JPM ATI ana PHd feli.mkipotezwa mnalalamika .PHd yake ndiyo imefanya maisha kuwa magumu?Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.
Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
Nafikiri hujui unachouliza! Duniani kote watu hawwandiki journal! Kinacho andikwa ni paper ambayo ina jumuisha tafiti mtu aliyo fanya na njia aliyo tumia na pia results etc! Halafu hii paper inatumwa kwenye journal inayohusika na maswala yanayo fanana na utafiti uliofanywa. Hiyo journal inapokea paper nyingi za watafiti tofauti na kuyachapisha.Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.
Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.
Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
Na wewe tafuta PhD (kama huna) achana na PhD za watu.
Alikuwa anawatafuta wakumjibu naona ameshatuliza masaburi.Nafikiri hujui unachouliza! Duniani kote watu hawwandiki journal! Kinacho andikwa ni paper ambayo ina jumuisha tafiti mtu aliyo fanya na njia aliyo tumia na pia results etc! Halafu hii paper inatumwa kwenye journal inayohusika na maswala yanayo fanana na utafiti uliofanywa. Hiyo journal inapokea paper nyingi za watafiti tofauti na kuyachapisha.
Hivyo kusema Biteko aandike Journal unamuona na wewe hujui unachokitaka kutoka kwake!
Au unataka kusoma thesis yake, au paper yoyote aliyo publish kwenye journal yoyote? Unataka nini?
Nasikitika sana mkuu wangu 'peno hasegawa', kwani ni wazi hujui unachotaka upewe.Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.
Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
Babu yako alikuwa na digri ngapi? Yale Yale ya kumsakama Hayati JPM ATI ana PHd feli.mkipotezwa mnalalamika .PHd yake ndiyo imefanya maisha kuwa magumu?
Well defended, otherwise the person who asked about journal is neither unaware about it nor knowledgeable about journal, desertation and thesisNasikitika sana mkuu wangu 'peno hasegawa', kwani ni wazi hujui unachotaka upewe.
"Journa" ni kitu gani, na itahusiana vipi na Ph.D. ya huyo unayetaka kumlipua?
"Journal" haina uhusiano wowote na kiwango cha elimu alichonacho mhusika. Hata yule binti yako wa miaka 14, atakuwa na "Journal" (Diary), ambayo hatapenda wewe uisogelee karibu. Na wenyewe hawapendi kuiita "diary", bali 'Journal"
Maana nyingine ya "Journal" ni majarida yanayochapisha maandiko ya tafiti ya kitaaluma, wenyewe wanaziita 'papers'.
Hakuna taasisi yoyote ya elimu duniani inayo ainisha kiwango cha elimu ya mtunukiwa ikihusiana na "journal".
Inawezekana umechanganya "Thesis", au hata "Disertation" na hiyo "Journal."
Na kama unatafuta maandiko hayo niliyokuwekea hapo, basi njia rahisi ya kuyapata ni kwenda kwenye maktaba alikopata hiyo Ph.D. yake. Ni taratibu duniani kote kuwa na uhifadhi wa maandishi ya namna hiyo kwenye maktaba husika.
Yaani jama kampaisha sana Biteko; ataonekana bora sanaNafikiri hujui unachouliza! Duniani kote watu hawwandiki journal! Kinacho andikwa ni paper ambayo ina jumuisha tafiti mtu aliyo fanya na njia aliyo tumia na pia results etc! Halafu hii paper inatumwa kwenye journal inayohusika na maswala yanayo fanana na utafiti uliofanywa. Hiyo journal inapokea paper nyingi za watafiti tofauti na kuyachapisha.
Hivyo kusema Biteko aandike Journal unamuona na wewe hujui unachokitaka kutoka kwake!
Au unataka kusoma thesis yake, au paper yoyote aliyo publish kwenye journal yoyote? Unataka nini?
Unamaanisha publication? maana kuandika journal itakuwa kazi ya editors.Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.
Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
mbona wewe si wa kwanza kuuliza , na hakuna majibu !Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.
Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
Huyo JPM alitoa majibu ?Babu yako alikuwa na digri ngapi? Yale Yale ya kumsakama Hayati JPM ATI ana PHd feli.mkipotezwa mnalalamika .PHd yake ndiyo imefanya maisha kuwa magumu?