Mwenye journal aliyoandika Waziri wa Madini, Dotto Biteko (PhD) inaomba aiweke hapa tafadhali

Mwenye journal aliyoandika Waziri wa Madini, Dotto Biteko (PhD) inaomba aiweke hapa tafadhali

Nafikiri hujui unachouliza! Duniani kote watu hawwandiki journal! Kinacho andikwa ni paper ambayo ina jumuisha tafiti mtu aliyo fanya na njia aliyo tumia na pia results etc! Halafu hii paper inatumwa kwenye journal inayohusika na maswala yanayo fanana na utafiti uliofanywa. Hiyo journal inapokea paper nyingi za watafiti tofauti na kuyachapisha.
Hivyo kusema Biteko aandike Journal unamuona na wewe hujui unachokitaka kutoka kwake!
Au unataka kusoma thesis yake, au paper yoyote aliyo publish kwenye journal yoyote? Unataka nini?
Jf imeingiliwa na wenye degree Za chupi
 
Nasikitika sana mkuu wangu 'peno hasegawa', kwani ni wazi hujui unachotaka upewe.

"Journa" ni kitu gani, na itahusiana vipi na Ph.D. ya huyo unayetaka kumlipua?

"Journal" haina uhusiano wowote na kiwango cha elimu alichonacho mhusika. Hata yule binti yako wa miaka 14, atakuwa na "Journal" (Diary), ambayo hatapenda wewe uisogelee karibu. Na wenyewe hawapendi kuiita "diary", bali 'Journal"

Maana nyingine ya "Journal" ni majarida yanayochapisha maandiko ya tafiti ya kitaaluma, wenyewe wanaziita 'papers'.

Hakuna taasisi yoyote ya elimu duniani inayo ainisha kiwango cha elimu ya mtunukiwa ikihusiana na "journal".

Inawezekana umechanganya "Thesis", au hata "Disertation" na hiyo "Journal."

Na kama unatafuta maandiko hayo niliyokuwekea hapo, basi njia rahisi ya kuyapata ni kwenda kwenye maktaba alikopata hiyo Ph.D. yake. Ni taratibu duniani kote kuwa na uhifadhi wa maandishi ya namna hiyo kwenye maktaba husika.
Hapa ninamaanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
 
Mtoa mada inawezekana haya mambo huyafahamu vizuri au labda ni mgeNI.

PhD inapatikana kwa kusoma darasani, kuandakia dessertation na ku i defend hiyo dissertation.

Hiyo mambo ya sijui umeandika journal, hiyo ni mtu mwenyewe kwa mapenzi yake aamue kuandika journal ila hata asipoandika haimuondolei sifa ya Phd yake. Wanaokimbizana kuandika journal ni PhD holders waliopo kwenye academic ambao wao ku publish ni issue ya msingi sana NA LAzima.

By the way, dissertation huwa ni mali za vyuo vikuu, so kama unajua huyo bwana Phd yake aliipatia wAPi, ni suala la KweNda kwEnye chUO HUSIKA UKAOMBE HIYO DISSERTATION. I hope itakuwepo maana mtu huwez pewa pHD BILA KU DEFEND DISSErTation.
Hapa ninamaanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
 
Hapa atakuwa anamanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
PhD kama hujapata , unastahili mkuu kupewa mkuu. Asante kwa kuwaelewesha vilaza wengine humu Jf
 
Nadhani ulimaanisha dissertation.

Naomba ya waziri wa sasa wa fedha ipandishwe hapa jukwaani kuna kitu nataka kujua, Ahsante.
Hapa ninamaanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
 
Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.

Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
Mbona hata hujui unachokitafuta? Watu wakitetea PhD wanaandika "journal" ?
 
Hapa ninamaanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
Bado kuna tatizo mkuu.
Ku-'publish', paper kwenye 'journal', kamwe hakuwezi kuwa ndio kigezo cha kuonyesha ufuzu wa hiyo digrii ya Ph.D; pamoja na kwamba kinaweza kuwa ni takwa la chuo kufanya hivyo.
Hiyo 'paper' unayoisema ni lazima itakuwa inatokana na yaliyomo katika andiko la kazi iliyofanyika ambayo imo kwenye 'thesis'.

'Dissertation' katika vyuo vingi inahusiana na digrii za Masters. 'Thesis' inahusiana na Ph.D.' ingawaje sehemu nyingi watu wanazichanganya.
 
Hawa maprofesor uchawara ukimpa 3M anakuandikia vizuri sn mwisho unakuwa PhD swafi bila kufanya utafiti wowote
 
PhD nyingi hazihitaji kuhudhuria darasani! Ni purely by research, na siku hizi, kwa sababu ya technology iliyopo, muda wa research umefupishwa mno! Nimeshuhudia wanafunzi waliotumia miaka miwili kumaliza Doctorate yao! Na wakiwa na publications kama sita hivi. (A select group of students complete their PhDs in two years, while a tiny number of elite students can get it done in 12 months. It's hard to overstate how rare and impressive this is, but it is always a possibility. - hii nimepata google)
 
Babu yako alikuwa na digri ngapi? Yale Yale ya kumsakama Hayati JPM ATI ana PHd feli.mkipotezwa mnalalamika .PHd yake ndiyo imefanya maisha kuwa magumu?
Kwa hio wewe ulitaka elimu yake na alichoandika kiwe siri? Maana kinyume cha uwazi ni usiri
 
Back
Top Bottom