Mwenye journal aliyoandika Waziri wa Madini, Dotto Biteko (PhD) inaomba aiweke hapa tafadhali

Jf imeingiliwa na wenye degree Za chupi
 
Hapa ninamaanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
 
Hapa ninamaanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
 
Hapa atakuwa anamanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
PhD kama hujapata , unastahili mkuu kupewa mkuu. Asante kwa kuwaelewesha vilaza wengine humu Jf
 
Nadhani ulimaanisha dissertation.

Naomba ya waziri wa sasa wa fedha ipandishwe hapa jukwaani kuna kitu nataka kujua, Ahsante.
Hapa ninamaanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
 
Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.

Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
Mbona hata hujui unachokitafuta? Watu wakitetea PhD wanaandika "journal" ?
 
Hapa ninamaanisha paper aliyo-Publish
Navyojua baadhi ya vyou ili utimize kigezo cha PhD lazima u- publish at least paper 2 kwenye Recognized international journal pamoja na kuandika dissertation
Bado kuna tatizo mkuu.
Ku-'publish', paper kwenye 'journal', kamwe hakuwezi kuwa ndio kigezo cha kuonyesha ufuzu wa hiyo digrii ya Ph.D; pamoja na kwamba kinaweza kuwa ni takwa la chuo kufanya hivyo.
Hiyo 'paper' unayoisema ni lazima itakuwa inatokana na yaliyomo katika andiko la kazi iliyofanyika ambayo imo kwenye 'thesis'.

'Dissertation' katika vyuo vingi inahusiana na digrii za Masters. 'Thesis' inahusiana na Ph.D.' ingawaje sehemu nyingi watu wanazichanganya.
 
Hawa maprofesor uchawara ukimpa 3M anakuandikia vizuri sn mwisho unakuwa PhD swafi bila kufanya utafiti wowote
 
PhD nyingi hazihitaji kuhudhuria darasani! Ni purely by research, na siku hizi, kwa sababu ya technology iliyopo, muda wa research umefupishwa mno! Nimeshuhudia wanafunzi waliotumia miaka miwili kumaliza Doctorate yao! Na wakiwa na publications kama sita hivi. (A select group of students complete their PhDs in two years, while a tiny number of elite students can get it done in 12 months. It's hard to overstate how rare and impressive this is, but it is always a possibility. - hii nimepata google)
 
Babu yako alikuwa na digri ngapi? Yale Yale ya kumsakama Hayati JPM ATI ana PHd feli.mkipotezwa mnalalamika .PHd yake ndiyo imefanya maisha kuwa magumu?
Kwa hio wewe ulitaka elimu yake na alichoandika kiwe siri? Maana kinyume cha uwazi ni usiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…