Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali

Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini .

Ninawasilisha
Zanzibar kwa samaki na karafuu hapo sawa.
 
Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali

Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini .

Ninawasilisha

Duh labda chumvi.
 
Mafuta,
Mafuta nayo ni madini
Yapo mengi sana,
Yaani wazenji wakiachiwa watumie hii kitu mwaka tu wanakuwa kama expo 2020
 
Umeelewa ulichokiandika? Kuwa kama expo 2020 ndo nini?
Wengine tunaandika na kuongea kwa balagha,
Inabidi uwe umeelimika kidogo ndio utaelewa,
Sio mbaya umejitahidi kukurupuka
Wakati mwingine uwe unauliza hata kwa jirani kwanza
*
Expo 2020 inafanyika dubai
Ndio nikatumia huo msamiati
 
Hembu tu tuwaachie japo kwa mkataba hawa zenji angalau wa miaka kumi tu, ili tuone kweli wataendelea kiasi hicho wanachodai?
Halafu baadae tunawachukua tena,
Si kwa mkataba?
No problem
 
Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali

Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini .

Ninawasilisha
Gesi asilia maeneo ya uroa,paje,michamvi
 
Back
Top Bottom