Mimi langu limeandikwa Legacy sasa sijajua kama ndiyo kampuni hiyo au la.....ila nimekaa nalo huu mwaka wa tano na liko kama jipyaHabari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA).
Swali langu la msingi ni je ni Kampuni gani nzuri ya majiko ya aina iyo, maana nikipitia mtandaoni na madukani kwakweli majiko ni mengi sana mpaka yananichanganya.
Karibuni kwa ushauri
Mimi langu limeandikwa Legacy sasa sijajua kama ndiyo kampuni hiyo au la.....ila nimekaa nalo huu mwaka wa tano na liko kama jipya
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sijajua sasa kama ndiyo jina la kampuni, ukienda dukani jaribu kuwauliza ila ni zuri sanaOk very nice, hii legacy ndio naisikia leo mkuu
shukrani sana mkuuSijajua sasa kama ndiyo jina la kampuni, ukienda dukani jaribu kuwauliza ila ni zuri sana
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
😂umenikumbusha kisa cha kulala na jaa na chakula kipo kisa umeme umekatika. Hayaja mkuta huyu . Yaani kimsingi kama maisha yapo, nyumbani kwako usikose nishati hizi kwa ajili ya kupikiana umeme unavyokatika hivi ipo siku mtalala njaaa, au mtakula late
Mimi natumia kuni, hivyo ushauri wa aina ya jiko sijui kwa kweli
Majiko kwa ubora:Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA).
Swali langu la msingi ni je ni Kampuni gani nzuri ya majiko ya aina iyo, maana nikipitia mtandaoni na madukani kwakweli majiko ni mengi sana mpaka yananichanganya.
Karibuni kwa ushauri